Kenya bets on Colombia transport model to decongest Nairobi

They're the type that cry louder and mourn more than the bereaved.
Hivi kwanini ninyi wakenya mna roho mbaya kiasi hiki?, Kuna mwanafunzi wa nyeri University ameuliwa kwa kupigwa risasi kichwani na polisi, hakuna hata mtu mmoja aliyefungua uzi hapa JF, kama vile amekufa Mbuzi au panya, hakuna hata mkenya angalau anayezungumzia kitendo hiki, mbona sisi last week yule mwanafunzi alipouliwa tena kwa bahati mbaya, hapa JF palichafuka na Tanzania nzima ilipiga kelele na rais Magufuli alitoa tamko?, au kwenu ni vitendo vya kawaida kwahiyo hamshituki?
 
BRT again? Si mlisema hamna spaces for dedicated lanes na mkasema mnaenda kwa
Light Rail Transit? What happened ??
Aisee kweli Kenya is a failed state, A shit hole one, with no plans!.
Yaani wanasiasa wa Kenya wanaplani usiku halafu asubuhi wanaamka na kutangaza, na wajinga wengine humu wanawashangilia,
Halafu utasikia kesho wanakuja na cable busses. Wakenya bwana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
BRT again? Si mlisema hamna spaces for dedicated lanes na mkasema mnaenda kwa
Light Rail Transit? What happened ??
Aisee kweli Kenya is a failed state, A shit hole one, with no plans!.
Yaani wanasiasa wa Kenya wanaplani usiku halafu asubuhi wanaamka na kutangaza, na wajinga wengine humu wanawashangilia,
Halafu utasikia kesho wanakuja na cable busses. Wakenya bwana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jubilee paid Keyboard warriors cannot talk about this, Hii Kazi ya Kustiri Uchi wa Jubilee wakitumia vichupi vimeraruka raruka ni ngumu aisee. Haya fanyeni hima, Funikeni kabisa kinembe kipo njee
 
This is the best news, yaani Kenya wangeiga BRT ilivyo Tanzania yaani ingekua ovyo sana, nimetumia hiyo ya Tanzania mara kadhaa, sio kabisa.
Bora hivyo Wakenya walienda Dar na kujionea kwa macho.
Mpango wa Light rail mmefikia wapi?
 
Jubilee paid Keyboard warriors cannot talk about this, Hii Kazi ya Kustiri Uchi wa Jubilee wakitumia vichupi vimeraruka raruka ni ngumu aisee. Haya fanyeni hima, Funikeni kabisa kinembe kipo njee
Kwahiyo hata ubinadamu wa kuthamini maisha ya mkenya pia umekwisha?. Sasa wakenya mnajisikiaje, kwasababu wiki mbili tu zilizopita mliona ni kwa kiasi gani watanzania walivyoungana kwa pamoja kulaani na kushughulikia msiba wa yule mwanafunzi aliyepigwa risasi, tena kwa bahati mbaya, rais wa nchi na mawaziri wote walitoa tamko la kulaani na wale polisi walikamatwa, karibu serikali yote alihamia katika familia ya yule mwanafunzi.

Leo ameuliwa mkenya lakini hakuna mtu yoyote anayeshughulika wala kulizungumza japo kulaani, je mnadhani maisha ya mkenya yana thamani sawa na mtanzania?, yaani mimi inanishangaza sana kwakweli.
 
Nitawafungulia
 
kwa hiyo mko level moja na Japan na USA!! nyinyi ni kama ma zombie, juz mliambiwa BRT haifaia Nai mka kenua! leo mme ambiwa ina faa mnakenua tena
usijali ya Kenya hayakuhusu ndewe wala sikio...jali la kwakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€BRT tukitaka hata kuiweka msituni, majini au jangwani haikuhusu hata chembeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
middle income country Kenya ni shithole sawa...sembuse tanzania LDC country?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kenya huwa tunaplan sio kukurupuka...light rail na BRT zote zipo kwenye plan...
 
kaulize aliyemchinja diwani kwa panga...wakenya roho mbayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nyie ndio malaika sasa hahahaha...meanwhile, Lissu yupo hospitalini na risasi mwilini, mwingine diwani wa Mola mlimchinja kwa upanga juzi..picha za maskini wa Mola nimezitazama nikapigwa na butwaa.RIP to diwani
 
middle income country Kenya ni shithole sawa...sembuse tanzania LDC country?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kenya huwa tunaplan sio kukurupuka...light rail na BRT zote zipo kwenye plan...
Kenya is poorer than Tanzania. Nasema hivi sababu 60% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kibera kwenye Slums, People living below poverty line ni 43% na pia 4M Kenyans are starving to death, And in fact a Shithole one,

nasema hivi sababu Nina ushahidi,

Rais Wa Marekani, Donald trump alivyoita Shithole Africa nzima ni Kenya pekee ambayo Viongozi wake walitoka hadharani na kukubaliana na hiyo kauli kuwa kweli Kenya ni Shithole,
Lakini pia yanapotoka Maamuzi ya kukurupuka namna hii, halafu pia tunapoona mambo kama vile 50% ya pato la taifa kutafunwa na 2% elite Kenyans, and the remaining 50% kugawanywa kwa 98% kenyans hapo pia tunathibitisha kuwa Kenya ni Shithole, lakini pia nchi inayokopa pesa kulipa madeni nchi ya namna hii ni Shithole,
Na pia nchi ambayo imetawaliwa na kabila moja, na kabila hilo pamoja na wazungu kushika 90% ya uchumi wa nchi basi tunahitimisha kuwa nchi hii ni Shithole,
Na pia nchi ambayo inajinasibu kuwa Middle income, na kudai kuwa serikali ina pato kubwa wakati huohuo serikali haina uwezo wa kujenga 10KM road kwa makusanyo ya ndani hadi mkopo toka uchina nchi hiyo ni Shithole,
Lakini pia nchi ambayo ina ukabila uliopindukia, nchi ambayo watu hudharau Lugha yao ya asili na kujivunia kingereza nchi hii ni Shithole,

Na pia Nchi ambayo wanasiasa na wazungu wanamiliki ardhi yote na kuwaacha wananchi hawana hata 20m Γ— 20m nchi hiyo ni Shithole,

Nchi ambayo kwa makusudi inaenda kukopa pesa (Mabilioni ya dola) kwa wachina na kujengewa bandari kama ile ya Lamu huku ikifahamu haitaleta tija, (Tembo mkubwa mweupe) nchi hii ni Shithole,
Nchi ambayo haiwezi kuwahakikishia u salama raia wake ni Shithole,
Nchi ambayo inanunua trains za karne ya 17 kwa gharama za bullet trains ni shithole

Nchi ambayo wananchi wake husujudu ubepari na kuuponda ujamaa kutwa kucha wakati huohuo nchi ya kijamaa ndiyo inayofadhiri miradi yao yote ya Maendeleo nchi hiyo ni Shithole,
Nchi ambayo watu kwa makusudi, tena mchana kweupe hujiapisha kuwa marais na hawafanywi chochote na serikali nchi hiyo ni Shithole,

Ushahidi huu unabainisha kuwa Kenya ni Shithole country.
 
Watu kumi waliohusika na hayo mauaji tayari wameshakamatwa, sababu ya kufanya hayo mauaji imeshajulikana ni maugomvi ya ardhi, serikali imefanya kazi yake, hata wale askari waliompiga risasi kwa bahati mbaya yule mwanafunzi pia nao wsmekamatwa.

Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba, angalau Tanzania wananchi wana upendo, vifo vikitokea wanapaza sauti, lakini ninyi ni kama wanyama wa porini, mwenzetu anauliwa, ninyi wala hamjali, eti mnajali Lisu aliyejeruhiwa lakini wenzentu mamia ya wakenya wanaouliwa kila siku hamsemi lolote, stupi Kenyans.
 
Itakua itakua itakua,iko wapi wewe nyang'au?njoo dar uone....

Halafu hao watu eti wataiga ya Bogota,sasa kwani ya dar na Bogota ina tofauti gani?yaani same thing sema wanaona tu wivu/aibu kusema tutaiga ya watz.
 
usijali ya Kenya hayakuhusu ndewe wala sikio...jali la kwakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€BRT tukitaka hata kuiweka msituni, majini au jangwani haikuhusu hata chembeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
inanihusu sana mkuu.. Kama ambavyo hii njaa inayo wakumba ina tuhusu. Huwezi ukala ukavimbiwa uku jirani yako anakufa kwa njaa. Nina jamaa zngu Nai. We are like brothers, we grew up together. Nisingependa waendelee kuibiwa na Uhuruto
 

This thread and the feasibility mbuzi experts are back in full force
 

21km peke.. rest of the money to the TZ "SGR"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…