middle income country Kenya ni shithole sawa...sembuse tanzania LDC country?😀😀😀😀kenya huwa tunaplan sio kukurupuka...light rail na BRT zote zipo kwenye plan...
Kenya is poorer than Tanzania. Nasema hivi sababu 60% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kibera kwenye Slums, People living below poverty line ni 43% na pia 4M Kenyans are starving to death, And in fact a Shithole one,
nasema hivi sababu Nina ushahidi,
Rais Wa Marekani, Donald trump alivyoita Shithole Africa nzima ni Kenya pekee ambayo Viongozi wake walitoka hadharani na kukubaliana na hiyo kauli kuwa kweli Kenya ni Shithole,
Lakini pia yanapotoka Maamuzi ya kukurupuka namna hii, halafu pia tunapoona mambo kama vile 50% ya pato la taifa kutafunwa na 2% elite Kenyans, and the remaining 50% kugawanywa kwa 98% kenyans hapo pia tunathibitisha kuwa Kenya ni Shithole, lakini pia nchi inayokopa pesa kulipa madeni nchi ya namna hii ni Shithole,
Na pia nchi ambayo imetawaliwa na kabila moja, na kabila hilo pamoja na wazungu kushika 90% ya uchumi wa nchi basi tunahitimisha kuwa nchi hii ni Shithole,
Na pia nchi ambayo inajinasibu kuwa Middle income, na kudai kuwa serikali ina pato kubwa wakati huohuo serikali haina uwezo wa kujenga 10KM road kwa makusanyo ya ndani hadi mkopo toka uchina nchi hiyo ni Shithole,
Lakini pia nchi ambayo ina ukabila uliopindukia, nchi ambayo watu hudharau Lugha yao ya asili na kujivunia kingereza nchi hii ni Shithole,
Na pia Nchi ambayo wanasiasa na wazungu wanamiliki ardhi yote na kuwaacha wananchi hawana hata 20m × 20m nchi hiyo ni Shithole,
Nchi ambayo kwa makusudi inaenda kukopa pesa (Mabilioni ya dola) kwa wachina na kujengewa bandari kama ile ya Lamu huku ikifahamu haitaleta tija, (Tembo mkubwa mweupe) nchi hii ni Shithole,
Nchi ambayo haiwezi kuwahakikishia u salama raia wake ni Shithole,
Nchi ambayo inanunua trains za karne ya 17 kwa gharama za bullet trains ni shithole
Nchi ambayo wananchi wake husujudu ubepari na kuuponda ujamaa kutwa kucha wakati huohuo nchi ya kijamaa ndiyo inayofadhiri miradi yao yote ya Maendeleo nchi hiyo ni Shithole,
Nchi ambayo watu kwa makusudi, tena mchana kweupe hujiapisha kuwa marais na hawafanywi chochote na serikali nchi hiyo ni Shithole,
Ushahidi huu unabainisha kuwa Kenya ni Shithole country.