joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Police shoot, kill Meru University student leader as protests turn uglyView attachment 702388
21km peke.. rest of the money to the TZ "SGR"
Kwanini hamtaki kujifunza toka Tanzania nchi inayoongoza kwa civilization hapa EA?. Hapa Tanzania, mwanafunzi alipouliwa, nchi nzima shughuli zilisimama kwa kuonyesha thamani ya maisha ya mtanzania, ninyi ameuliwa mwanafunzi, no one cares mnaendelea kutuma post za wanyama, then mnataka kujilinganisha na Tanzania wakati wenyewe kwa wenyewe hampendani wala kuthaminiana, pumbavu kabisa ninyi.