Kenya bhana, kumbe hata 3000MW za Umeme hakuna!

Hilo nabisha, nyie pona yenu ni kwamba asilimia 80% mnategemea ukulima, lakini likija suala la mpunga, madogo wengi wa Kenya wana hela zaidi yenu.
Inategemea MK254 sidhani kama ni sawa ,fursa zinaweza tofautiana pia lakini cha muhimu Ni kukunja fedha mjn. ..mf medics wa Kenya anaingiza fedha zaidi ya wauku lakini vipi kuhusu mianya mingine yakuingiza kipato ?nafaham kwa upande wa salary mko vizur

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Anataka kusikia tu ni chini ya 2000 MW sababu that appeals to his emotions.The worse you look the better his diabolic satisfaction gets cuz he has this thing called "confirmation bias"
Yeah I was forced to call him out but it's good he has corrected himself. Ingekuwa Annael ama Geza hawangekubali kurekebishwa.
 

Nimehusika katika shughuli za empowerment ya vijana kwenye nchi zetu hizi, lakini madogo wa Kenya wapo vizuri sana huchangamkia fursa bila kuchelewa na wengi wanapiga hela balaa. Wa hapo Bongo wanazo fursa nyingi lakini wanachukua muda sana kuzichangamkia.
Kuna Wakenya wengi wakija huko huwa wanazoa mihela utadhani wanaokota, siku mkiachia kwa kutiririka itabidi mtaishia kuwafukuza kwa mapanga, hehehe.....
 
Hizi data ziko wazi na ukienda world bank website au IMF utazipata

Data za kupika, kama sivyo basi kakikudi kadogo sana kanakomiliki huo uchumi. Nigeria ni full chaos, hata umeme hauwezi dumu saa mbili.
 
Nigeria GDP PC is 2500$, not 5000$.
 
Yup , i thought that figure was too inflated. If their per capita was $5000 then their cumulative GDP would be north of $900bn.
That in fact is the SAn GDP PC. I think Tony254 got a little confused here..
 
very stupid...first Kenya is not under 2000MW as you say..iko almost 3000MW given that there are plants that havent been added to the grid but are already complete e.g Olkaria II and Turkana Wind....secondly, what does tanzania produce?
 
by 2020 the Lamu Coal plant will add 1050MW of electricity to Kenya's grid which means we will have almost 4000 MW by then...lol! nyani haoni kundule
 
Baada ya kupata gesi kila mtu alidhani sasa Umeme hautasumbua
 
Extractive industries like mining consume a lot of power, something kenya lacks.

Mozambique for instance has a capacity of 4000,mW, but save for the mining sector.(mozal), consumption by the rest of the country is just 350mw of that amount. Of SA's 40000mw of electricity, 94%of its production and more than 60% of its consumption is attributed to minerals and extractive industries(hapo hujaingiza other forms of industry).

Its not about how much you can produce but what need is there in respect to what you produce.
 
Source of this information is ?????
 
Hahahaaa. Labda alidhani umeme unahifadhiwa kama madini au mafuta kwamba utatumika miaka ijayo.
 

Kama kuna unlimited funding hi ni possible.
Lakini realistically na economically speaking, kuzalisha stima lazima kujilipe. Unahitaji mabilioni kuzalisha na kusambaza stima.
Huwezi tumia bajeti yote kuzalisha tuseme 10,000 MW, ilhali projections zinaonyesha utahitaji miaka kumi ili utumie hii stima yote.
Bado taifa lahitaji hospitali, barabara nk.
 
Mkuu umetoboa hadi mwisho kwa wakenya, watu wa kujidai eti matajiri wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GDP per capita Nigeria ni 2600

sent from iPhone 7
 
By the way, SGR yetu ikiwa upgraded kuwa electric, itatumia umeme mwingi ama huwa hazili umeme sana?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…