tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Inategemea MK254 sidhani kama ni sawa ,fursa zinaweza tofautiana pia lakini cha muhimu Ni kukunja fedha mjn. ..mf medics wa Kenya anaingiza fedha zaidi ya wauku lakini vipi kuhusu mianya mingine yakuingiza kipato ?nafaham kwa upande wa salary mko vizurHilo nabisha, nyie pona yenu ni kwamba asilimia 80% mnategemea ukulima, lakini likija suala la mpunga, madogo wengi wa Kenya wana hela zaidi yenu.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app