Kenya bhana, kumbe hata 3000MW za Umeme hakuna!

Niliuliza bei ya mahitaji ya kila siku mf chakula katika migahawa ya kawaida, vinywaji baridi na pombe za kawaida kama bia,petrol umeshajibu ni sawa na. huku tu,bei za nyumba zakupanga katika mitaa ya kawaida lakini sio mitaa yahovyo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Ah, hilo tu? Samahani kwanza kuchelewa kukujibu.

Sidhani kama kuna tofauti kubwa sana kati ya bei ya vyakula (staple) Kenya na Tanzania.

Jijini Nairobi
1)vyakula kwenye migawa ya kawaida, tuchukue mifano ya vyakula vinavyotumika huku Kenya sana kama ugali, mchele, chapati, nyama, samaki au maharage...

Tuseme kwa mfano:

Ugali/wali/chapati kwa nyama na sukumawiki ni 120.00

Ugali/ wali/ chapati kwa maharage/ndengu ama peas - 80.00
au hata 100.00

Chips mkavu ni 50- 80.00

Kuku nusu ni 150.00

2)Vinyuaji baridi kama soda (1ltr) ni sh. 99.

Minute maid au Del Monte Juice 1ltr pkt is 180.00.

3)Vileo Kenya bei ni ghali mno, juu ya serikali kuweka kodi ya juu kukabiliana na tabia ya ulevi.

Vodka, mf. Smirnoff 1ltr ni 1300.00
Beer ya Tusker ni 170.00 kwa chupa. Guiness ni 200.00

4)Nyumba za apartments..itategemea na mtaa pamoja na size ya nyumba, ikiwa ni one, two ama three n.k (sisi huku hupima ukubwa wa apt in terms of the no. of bedrooms, not in sq.ft).

One bedroom apt may range from 10.000 (Umoja estate) to 25.000 (Langata).
Erm...hilo halijumuishi malipo ya maji, stima, takataka/usafi na ulinzi.

Rent hulipwa kila mwezi, sio mara moja kwa mwaka kama huko Tanzania.
 
It means exactly that. Unless you want to reinvent the wheel!
Nimeangalia saivi nimeona baada ya mgomo, daktari anaelipwa hela ndogo saivi ni kwenye 6,500,000/- sasa compare na 1,500,00/- ya Tanzania. Hata tukisema gharama ya maisha Nairobi ni mara mbili ya Dar kama unavyo ashiria, bado anapigwa bao Mbali sana.
Jipe moyo. Ugali wenyewe ambao tanzania wamepunguzakula ni hanasa kenya tena ni bei gari. Tanzania sikuizi watu wanakula kuku na viazi (irish potato) kwa wingi maana ni nafuu. Viazi kilo (kg 1) ni tsh 450 mpaka 850 kutegemea na soko. Kuku wa kienyeji kuanzia tsh 6000 mpaka 10000 tena kasafishwa. dar ndo wana overprice vyakula lakini bado chip. Tsh 600000 kwa mwezi una enjoy bila stress na unabaki na hela nyingi. Unga 1 kg tsh 1000 tanzani nzima unapata na bado sehemu nyingine mpaka tsh 800. Linganisha gharama za kuishi kenya na tanzania ndo uongee. Wakenya wakija tanzania wengi hawataki kuludi kwao sema permit ya kuishi tanzania ni ngumu kuipata ndio maana wanashindwa kukaa tanzania.
 
Good salary doesn't means your paid well than tanzania. What about food price, renting or own a hours, transport cost, water bill that u need. Compare with tanzania u are nothing but ending to paid bills.u Work for money to pay bills with little saving which means nothing, u have hunger, angry attitude, poor looking because of food. Which help u is milk, flowers and miraa(mirungi) labda baadae mkifanikiwa kukomboa white elephant project mlizozianzisha(sgr na crude oil)

Nitakusamehe, huenda bado wewe mtoto tu. Hayo uneandika yamedhihirisha wazi kuwa fikra zako bado za kitoto mno.
 
Depending on the company, it currently ranges from 87.00 to 92.00/ltr (in Kshs ofcos) in Nairobi.
Kenya petrol ni gali pia ata gas ni gali usidanganye maana white elephant port yenu ni kubwa lakini sio effective kama ya tanzania kwa upande wa gas na petrol inayofanya garama za kupakua mafuta na gas kuwa juu
 
Huwa nasikia majigambo meengi kuhusu hii nchi, nimejaraibu kijielimisha nikagundua kwamba si lolote wala chochote, yaani jamaa hata 3000 MW za Umeme hawana, bado wako chini ya 2000 MW na hii ni nchi yenye wakazi zaidi ya milioni 40, sasa linganisha nchi ya AK inazalisha zaidi ya 40 000 MW za Umeme, na wala huwasikiii wakipiga kelele, lkn Kenya kila siku tunalishwa propaganda hapa mara sijui middle income country, mara sijui Super power wa Afrika, hivi Super power unatumia Umeme chini ya 2000 MW kwa watu zaidi ya milioni 40?

Mimi nafikiri hata huo umiddle income uko overrated for political reasons, kwa maana 2000 MW ni ndogo sana huwezi kuzalisha chochote!

Kuna kitu hakipo sawa, ...
Nasikia Tanzanja tupo Below

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nasema kuna kitu hakipo sawa, ni swala la kimtazamo tu, hata TZ kama tukichukua informal sector yote tukaiweka kwenye GDP yetu pia tutakuwa middle economy kama Kenya, ndiyo maana binafsi siko sana kwenye mambo ya GDP kwa maana inategemeana na mambo mengi, lkn hili la matumizi Umeme ndiyo kwangu mimi ndiyo linalotoa hasa jibu la nchi imeendelea kwa kiasi gani, hivyo kutumia chini 3000 MW kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 kwangu mimi ni inaonyesha jinsi gani bado ni underdeveloped people, ...
Mkuu wachumi hua hawakosei.. Saaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasikia majigambo meengi kuhusu hii nchi, nimejaraibu kijielimisha nikagundua kwamba si lolote wala chochote, yaani jamaa hata 3000 MW za Umeme hawana, bado wako chini ya 2000 MW na hii ni nchi yenye wakazi zaidi ya milioni 40, sasa linganisha nchi ya AK inazalisha zaidi ya 40 000 MW za Umeme, na wala huwasikiii wakipiga kelele, lkn Kenya kila siku tunalishwa propaganda hapa mara sijui middle income country, mara sijui Super power wa Afrika, hivi Super power unatumia Umeme chini ya 2000 MW kwa watu zaidi ya milioni 40?

Mimi nafikiri hata huo umiddle income uko overrated for political reasons, kwa maana 2000 MW ni ndogo sana huwezi kuzalisha chochote!

Kuna kitu hakipo sawa, ...
Nyie CCM wezi wakubwa mnatutia aibu kimataifa.
 
Ah, hilo tu? Samahani kwanza kuchelewa kukujibu.

Sidhani kama kuna tofauti kubwa sana kati ya bei ya vyakula (staple) Kenya na Tanzania.

Jijini Nairobi
1)vyakula kwenye migawa ya kawaida, tuchukue mifano ya vyakula vinavyotumika huku Kenya sana kama ugali, mchele, chapati, nyama, samaki au maharage...

Tuseme kwa mfano:

Ugali/wali/chapati kwa nyama na sukumawiki ni 120.00

Ugali/ wali/ chapati kwa maharage/ndengu ama peas - 80.00
au hata 100.00

Chips mkavu ni 50- 80.00

Kuku nusu ni 150.00

2)Vinyuaji baridi kama soda (1ltr) ni sh. 99.

Minute maid au Del Monte Juice 1ltr pkt is 180.00.

3)Vileo Kenya bei ni ghali mno, juu ya serikali kuweka kodi ya juu kukabiliana na tabia ya ulevi.

Vodka, mf. Smirnoff 1ltr ni 1300.00
Beer ya Tusker ni 170.00 kwa chupa. Guiness ni 200.00

4)Nyumba za apartments..itategemea na mtaa pamoja na size ya nyumba, ikiwa ni one, two ama three n.k (sisi huku hupima ukubwa wa apt in terms of the no. of bedrooms, not in sq.ft).

One bedroom apt may range from 10.000 (Umoja estate) to 25.000 (Langata).
Erm...hilo halijumuishi malipo ya maji, stima, takataka/usafi na ulinzi.

Rent hulipwa kila mwezi, sio mara moja kwa mwaka kama huko Tanzania.
Apo kwenye rent safi yani uku unalipa kila baada ya miez sita au mwaka chini ya hapo upate landlord muelewa

Uku bia zipo za ujazo tofauti ukiwa na 1500tsh unakunywa local beer kama safari,serengeti nk buku 2 unakula Kilimanjaro ndogo bia kubwa nyingi ni sh 2000 zenye nusu lita...ukienda super market imported bia kama heineken ni sh 3000tsh au windhoek, juice za ndani zipo kuanzia tsh 500 nakuendelea hadi 4000tsh ,juice za ndani kama azam au mo ni bei rahisi kidogo....vyakula bei ni itategemea ila wali,ugali mboga nyama maharage na mboga za majani ni wastani wa kuanzia 2000tsh,kuku au samaki inapanda kidogo 3000tsh ,chipsi kavu 1500tsh chipsi yai 2500tsh ....nyumba room moja master ni laki moja nakuendelea inategemea na mtaa...bei inaongezeka kulingana na ukubwa wa nyumba .....tofaut kubwa nimeiona kwenye gharama za bia mnapigwa sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Kenya petrol ni gali pia ata gas ni gali usidanganye maana white elephant port yenu ni kubwa lakini sio effective kama ya tanzania kwa upande wa gas na petrol inayofanya garama za kupakua mafuta na gas kuwa juu
OMG ,how do you become bigger if you're not effective in the 1st place?
 
Uku bia zipo za ujazo tofauti ukiwa na 1500tsh unakunywa local beer kama safari,serengeti nk buku 2 unakula Kilimanjaro ndogo bia kubwa nyingi ni sh 2000 zenye nusu lita...ukienda super market imported bia kama heineken ni sh 3000tsh au windhoek, juice za ndani zipo kuanzia tsh 500 nakuendelea hadi 4000tsh ,juice za ndani kama azam au mo ni bei rahisi kidogo....vyakula bei ni itategemea ila wali,ugali mboga nyama maharage na mboga za majani ni wastani wa kuanzia 2000tsh,kuku au samaki inapanda kidogo 3000tsh ,chipsi kavu 1500tsh chipsi yai 2500tsh ....nyumba room moja master ni laki moja nakuendelea inategemea na mtaa...bei inaongezeka kulingana na ukubwa wa nyumba .....tofaut kubwa nimeiona kwenye gharama za bia mnapigwa sana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tukiondoa vileo, ni dhahiri kuwa hamna tofauti kubwa sana in terms of cost of the basic/basket commodities btwn Kenya and Tanzania.

Ya kwamba the cost of living Kenya ni kubea kushinda Tz ni dhana tu.

Lakn kwangu mimi naona hiyo idea ya kulipa rent ya mwaka mzima, au hata mwezi mzima balaa tupu. Sasa vipi kama wataka kukaa sehemu hiyo kwa miez michache tu, au usipopenda eneo hilo au chochote kitokee kitakachokubidi kuhamia kwengine?
Na kama senti hizo zote bado hauna?
 
Haha kijana mbona huzungumzii Tanzania kwanza maana ata uku hali si shwari

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Africa Kusini pamoja na kua na umeme wa MW 40 000 mwingi ni wakuendeshea viwanda, ila umeme unazingua na sometimes ni mgao, Maji pia ni shida sometimes maji yanaweza katika days. Nigeria, ni nchi yenye wananchi wenye KELELE kama Wakenya akati hali halisi ni UHARO wa MAISHA karibia wananchi wote. Nigeria ni watumiaji wa wakubwa sana wa Majenereta kwakua swala umeme ni kama na MVUA na JANGWA.

Ila Kenya wananchi ni masikini sana na hali ya maisha ni choka mbaya. Chakula cha hovyo hovyo kama UGALI bado ni ANASA na wengi huishi kwenye MADEBE kama NJIWA.
Kaka nakupa ofa ya bia na nyama choma
 
Jipe moyo. Ugali wenyewe ambao tanzania wamepunguzakula ni hanasa kenya tena ni bei gari. Tanzania sikuizi watu wanakula kuku na viazi (irish potato) kwa wingi maana ni nafuu. Viazi kilo (kg 1) ni tsh 450 mpaka 850 kutegemea na soko. Kuku wa kienyeji kuanzia tsh 6000 mpaka 10000 tena kasafishwa. dar ndo wana overprice vyakula lakini bado chip. Tsh 600000 kwa mwezi una enjoy bila stress na unabaki na hela nyingi. Unga 1 kg tsh 1000 tanzani nzima unapata na bado sehemu nyingine mpaka tsh 800. Linganisha gharama za kuishi kenya na tanzania ndo uongee. Wakenya wakija tanzania wengi hawataki kuludi kwao sema permit ya kuishi tanzania ni ngumu kuipata ndio maana wanashindwa kukaa tanzania.
You is a fool
 
Back
Top Bottom