KENYA: Binti akiri kumsingizia babake kumbaka na kupelekea afungwe kifungo cha maisha

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437

Msichana anae fahamika kwa jina la "Dorcas" amekiri na kuomba msamaha kwa baba yake kwa kosa la kumsingizia baba yake kuwa ali m-baka.

Inasemekana dorcas alishinikizwa na mama yake kumshataki baba kwa kum-baka ili baba afungwe jela na wao wachukue mali

Kisa iki kilitokea miaka kumi iliyopita na mpaka sasa baba huyo amesha tumikia miaka kumi jela!

Hii ni fedhea nyingine kwa mama zetu.

(samahani kwa uhandishi m-bovu, imeniuma sana)

CHANZO: Citizen TV, Kenya


UPDATES

Wakenya wameanza kuomba BABA huyo atolewe gerezani
 
Mahakama za kishenz unawezaji kutoa hukumu without undergoing DNA TEST ili ku verify Kama kweli alimbaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi za wanawake kuwalisha sumu mbaya watoto wao kuhusu baba zao zipo sana,jirani yetu mmoja kipindi nakua mama yake alimwambia baba yake alishakufa kitambo tena alikufa hata hajazaliwa ila wapevu wakamsubiri akue kue wakamwambia ukweli nakumbuka jamaa alimchukia sana mama yake baada ya kulijua hili.

Mwanamke siyo kiumbe wa kumuamini hata mara moja anaweza kukutia kwenye janga ukajikuta maisha yako yote unajuta kumfahamu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…