Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kwa comment yako tu nishajua kiwango chako cha elimu! Mngeendelea na masomo kidogo mgepunguza huo ujinga uliowajaa wewe na hao wajinga wenzio waliolike utumbo ulioandika.
Fanya hivii, Fungua tovuti ya NEWYORK TIMES (ni gazeti la marekani) kwenye search bar andika 'father rapes daughter' ama 'serial rapist/killer' kwenye hiyo orodha ndefu fungua hata link mbili angalia picha ya mtuhumiwa coz kusoma najua hutoweza alaf uje na ujinga mwingine tofauti
Kumbe hadi cheti unacho?! Your family must be really proud.
You're worthy a ' CERTIFIED INANE ' on this rostrum.Kumbe hadi cheti unacho?! Your family must be really proud.
Sasa we kama mtanzania unataka kujua kabila la huyu mama wa kikenya ndo ufanyeje... Binadamu katili ni Katili haijalishi kazaliwa wapi wala kabila ghani.... Unataka ujue kabila lake ili uendelezee 'stereotyping' ya makabila flani.... This is the definition of negative ethnicity...Huyo mama kabila gani mkuu?
Says (whatever it is you meant) someone who thinks mzungu is her God. Swim in your ignorance, honestly I couldn't care less. Just dont procreate. One of you is enough for a couple of generationsYou're worthy a ' CERTIFIED INANE ' on this rostrum.
Cha kushangaz unaweza oa mali kazikuta ila anavyokuja kujifanya ana machungu na Mali Sasa ndo hatari hukawii kukosana na jamaa zako chunga Sana hao watuVipo vituko vingi vya wanawake tena vya kijinga . Hapo amemhurumia kwa kumuachia uhai , huwa wanaua kabisa kisa kumiliki mali . Kuitwa mama mwenye nyumba ndio issue !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaCha kushangaz unaweza oa mali kazikuta ila anavyokuja kujifanya ana machungu na Mali Sasa ndo hatari hukawii kukosana na jamaa zako chunga Sana hao watu
Alifungwa maishaMuacheni amalize kifungo....
Alifungwa miaka kumi na ameshatumikia miaka kumi
Huyo judge anatakiwa aingize jela yeye au auawe . Sharia za Bible zilikuwa nzuri sana. Huyo judge angefungwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa baharini huko ndiko kutakuwa kilio na kusaga menoAliomba kufanya DNA judge akamwambia ni expensive,akawambia atalipa judge akamjibu muda ushapita wa kufanya DNA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wa mume wamtafute huyo mama wampe haki yakeWalichukua Mali mama akauza mashamba akaolewa na mtu mwingine watoto wakasambaratika kwahiyo binti kabaki yatima ameona afichue Siri kwamba alisingizia babayake Kwa kushinikizwa na mama yake ili wachukue Mali
Sent using Jamii Forums mobile app