Nilikua nasikia wanaume wa Kenya wanaopigwa na wake zao huwa hawalii kabisa hata mguno hakuna kutokana na kukwepa aibu kwa majirani,
Sasa unaambiwa wanawake ndio wamekua wakitake advantage kwenye hiyo situation kwa kushusha kichapo cha mbwa mwizi mpaka kupelekea baadhi yao kuzirai kabisa,
Wengine wanaopata auheni ni wale wanaopigwa na wake zao lakini wakati wanapokea kichapo huwa wanalia kama wanawake ili kufunika kombe mwanaharamu apite, Tatizo lao ni kwamba majirani wakija kuamua hao wanaopigwa ndio wanakua wakali kuruhusu msaada wa wasamaria wema.
So mpaka wanaanzisha huo umoja wao usidhani ni mchezo mchezo wamehaso