Kenya: Chama cha kutetea wanaume dhidi ya unyanyaswaji wa kijinsia chaanzishwa

Kenya: Chama cha kutetea wanaume dhidi ya unyanyaswaji wa kijinsia chaanzishwa

Wanaume wa Kenya wana sura nzuri,macho ya kurembua na matako makubwa makubwa kuliko wanawake nilishangaa sana afu sauti zao nyororo
 
Nilikua nasikia wanaume wa Kenya wanaopigwa na wake zao huwa hawalii kabisa hata mguno hakuna kutokana na kukwepa aibu kwa majirani,

Sasa unaambiwa wanawake ndio wamekua wakitake advantage kwenye hiyo situation kwa kushusha kichapo cha mbwa mwizi mpaka kupelekea baadhi yao kuzirai kabisa,

Wengine wanaopata auheni ni wale wanaopigwa na wake zao lakini wakati wanapokea kichapo huwa wanalia kama wanawake ili kufunika kombe mwanaharamu apite, Tatizo lao ni kwamba majirani wakija kuamua hao wanaopigwa ndio wanakua wakali kuruhusu msaada wa wasamaria wema.

So mpaka wanaanzisha huo umoja wao usidhani ni mchezo mchezo wamehaso
Sasa hao wanaume ni kwamba wanawaachia wake zao wawapige Kwa upendo ama ni udhaifu mkuu!!
 
Vyenye jamaa wa KE wanachezea kichapo kutoka kwa bibi zao hadi wanaamua kuanzisha association?? interesting
 
Back
Top Bottom