Kenya: Chama cha kutetea wanaume dhidi ya unyanyaswaji wa kijinsia chaanzishwa

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,184
Wanaume wa Kenya wameamua kuanzisha chama chao cha kuwatetea dhidi manyanyaso ya kijinsia kutoka kwa wanawake.

 
Wakenya na ujuaji wote huo kumbe wanapokea nakoz kutoka wa mabibi zao?
 
bora wao... huku kwetu wakikong'otwa wanasema wamepata ajali ya piki piki
 
bora wao... huku kwetu wakikong'otwa wanasema wamepata ajali ya piki piki
Hahaaa....wanawake wa bongo wanaheshima Sana sidhani kama hizo zipo kwetu!
 
Wanawake wa Kenya ni kawaida kuwatembezea waume wao mkong'oto na wanaume wamekua wakiupokea japo kwa shingo upande. Naona wameamua enough is enough.
 
Nilikua nasikia wanaume wa Kenya wanaopigwa na wake zao huwa hawalii kabisa hata mguno hakuna kutokana na kukwepa aibu kwa majirani,

Sasa unaambiwa wanawake ndio wamekua wakitake advantage kwenye hiyo situation kwa kushusha kichapo cha mbwa mwizi mpaka kupelekea baadhi yao kuzirai kabisa,

Wengine wanaopata auheni ni wale wanaopigwa na wake zao lakini wakati wanapokea kichapo huwa wanalia kama wanawake ili kufunika kombe mwanaharamu apite, Tatizo lao ni kwamba majirani wakija kuamua hao wanaopigwa ndio wanakua wakali kuruhusu msaada wa wasamaria wema.

So mpaka wanaanzisha huo umoja wao usidhani ni mchezo mchezo wamehaso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…