REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hahaha umeitaja sirari nikakumbuka Butiama kwa Baba wa Taifa, hivi huku unaweza linganisha na eneo lolote Kenya?Hawaezi amini, whatever propaganda and conception wako nayo that's what they will believe, hawa watu wamelishwa propaganda eti Kenya watu wote wanaumia ili wasiwe na machungu na serikali ovyo ya CCM, imagine imetawala since independence na Tanzania ukitembea ndani, hali duni ya maisha almost kila mahali., ingilia Sirare border, nyorosha hadi Dar pole pole., utashangaa na vile wako na mijisifa hapa!., Dar kwenyewe, ukiangalia 85% plus ya raiya ni technically slum/village type lifestyle dwellers in the city., ovyo!, ni kama yale mandazi y mushomoroni Mombasa, ni slum na tena sio slum, nyumba za kitambo and ugly, haziko kwa mpangilio, ndani ni vibarabara vidogo na maduka za kiushamba, yani mingi ni vibanda vya biashara., sehemu kubwa ni sura mbaya!!!.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Just asking