cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Mtakuja uzwa kutegemea wanaume wenzenu...kwanini msianzishe chenu....Ulitaka tukuje tanzania? Mchina ameendelea kiteknolojia, mzungu pia ndiyo kwa sababu tunaenda kusoma kwao. Nyinyi mnaopenda masomo ya gumbaru mtatusaidia nini?
Kwanza kiteknolojia Tanzania ik na nini ya kuonyesha dunia ama hata afrika?