Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
We will not close but we will not allow in any Tanzanian driver who tests positive for covid19. We test and refer them back to your ministry of health which will not tell you that they tested positive.Kama mnajiamini fungeni mpaka
No we want you to close the border completely and see if you will survive even for one week. Tanzania is controlling Economies of East African countries and beyond. Without Tanzania, there is no Kenya and other east African countries.We will not close but we will not allow in any Tanzanian driver who tests positive for covid19. We test and refer them back to your ministry of health which will not tell you that they tested positive.
Kenya needs Uganda more than Tanzania. Tanzania needs Kenya more as a market for it's raw products or else your farmers will die poor.No we want you to close the border completely and see if you will survive even for one week. Tanzania is controlling Economies of East African countries and beyond. Without Tanzania, there is no Kenya and other east African countries.
Sent using Jamii Forums mobile app
The most developed country in east africa and central africa not just eac.Kenya nye nye nye
LOL who's Kenya by the way?
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Unazungumza kuhusu boda ambayo kuna wakati ilifungwa kwa miaka saba? Alafu kwa miaka saba hiyo uchumi wa Kenya ulikuwa kwa kasi na wa Tz ukafifia na tukawapiga gap ambalo hadi sasa hivi hamjaweza kurecover. Hivi unajua Uganda kwa sasa ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya Tz? Unajua top export ya Kenya Tz ni nini? Madawa, hebu tafakari hayo na uwe serious kwenye masuala kama haya. Tatizo kwa sasa ni kwamba maambukizi ya Corona yamezidi kutoka upande wa pili wa boda, kama tu kule kwa boda ya Tz na Zambia. Mbona msiishinikize serikali yenu ifanye jambo kuhusu hilo ili hali irudi kama kawaida? Kuna watz wengi sana na wakenya pia ambao wanapata hasara kubwa kisa shughuli za kawaida za kibiashara zimevurugwa kwenye boda.No we want you to close the border completely and see if you will survive even for one week. Tanzania is controlling Economies of East African countries and beyond. Without Tanzania, there is no Kenya and other east African countries.
LOL white elephant is poached 😂😂😂😂🐘The most developed country in east africa and central africa not just eac.
Shenzi type,tutakula wapi ;biashara soko Nairobi. Siyo watanzania wote wanategemea fadhila za ccm kwa kuuza utu.Kama mnajiamini fungeni mpaka
80% of our agricultural produces goes to SADC markets, while 80% of your food is from Tanzania, even Uganda depends on Tanzania for rice, Sunflowers, legumes and fruits. Without Tanzania, there is no a single country can survive in this region.Kenya needs Uganda more than Tanzania. Tanzania needs Kenya more as a market for it's raw products or else your farmers will die poor.
Zambia waneshafungua boda yao baada ya siku 5 tu walianza kuonja joto la jiwe kutokana na madhara ya kufunga mpaka wao na Tanzania.Aisee unazungumzia boda ambayo kuna wakati ilifungwa kwa miaka saba? Alafu kwa miaka saba hiyo uchumi wa Kenya ulikuwa kwa kasi na wa Tz ukafifia na tukawapiga gap ambalo hadi sasa hivi hamjaweza kurecover. Hivi unajua Uganda kwa sasa ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya Tz? Unajua top export ya Kenya Tz ni nini? Madawa, hebu tafakari hayo na uwe serious kwenye masuala kama haya. Tatizo kwa sasa ni kwamba maambukizi ya Corona yamezidi kutoka upande wa pili wa boda, kama tu kule kwa boda ya Tz na Zambia. Mbona msiishinikize serikali yenu ifanye jambo kuhusu hilo ili hali irudi kama kawaida? Kuna watz wengi sana na wakenya pia ambao wanapata hasara kubwa kwasababu ya hali ilivyo hapo boda.
Kenya needs Uganda more than Tanzania. Tanzania needs Kenya more as a market for it's raw products or else your farmers will die poor.
Una matatizo ya akili wewe, hivi unajua kweli maana ya neno BIASHARA?Zambia waneshafungua boda yao baada ya siku 5 tu walianza kuonja joto la jiwe kutokana na madhara ya kufunga mpaka wao na Tanzania.
Tanzania na Kenya, zote zinanua zaidi ya 95% ya dawa kutoka India, kuna aina 5 tu za dawa ambazo sio muhimu ambazo hutoka Kenya( anti- pains & Antifungal & Flagyl), zote hizi pia kuna zinazotoka India, Egypt na Europe, kwahiyo sio muhimu kwetu.
Kenya inategemea chakula na Malighafi kwa ajili ya viwanda vyake toka Tanzania, hizi bidhaa zetu tukiamua kuzizuia zisije huko, lazima uchumi wenu utayumba sana.
Mipaka ilipofingwa miaka ya 70s, Kenya ilitegemea sana nchi za Magharibi kupata chakula, raw materials na markets kwa ajili ya Bidhaa zake, Kenya haikua ikitegemea soko la nchi za kusini.
Sasa hivi nchi zote za Magharibi hazina tena sababu za kuibeba Kenya kwa sababu vita baridi imeisha.
Hahahaha, Tanzania tunafanya biashara zaidi na SADC countries, hatutegemei EA.Una matatizo ya akili wewe, hivi unajua kweli maana ya neno BIASHARA?
Biashara hizo zinaingiza takriban shilingi ngapi kwenye uchumi wa Tz? Maanake unasifia utadhani mnagawa bidhaa bure. Alafu mbona uchumi wenu haupo juu zaidi ya nchi zote zingine SADC na EAC pia kama nyinyi ndio mnategemewa? Bila viwanda vya maana utabaki tu kubweka bweka bure. Kwa mfano Kenya tunawauzia Tz bidhaa ambazo kwa ujumla ni za thamani ya juu zaidi ya tunazonunua kutoka Tz, kwasababu ya viwanda. Madawa, sabuni na bidhaa zingine kutoka kwa viwanda ndio top products kutoka Kenya. Licha ya hayo hutasikia wakenya wakijimwambafy kwamba wanawatibu na kuwang'arisha kwasababu tunaelewa vyema kwamba ni BIASHARA sio misaada. Acha ushamba jombaa.Hahahaha, Tanzania tunafanya biashara zaidi na SADC countries, hatutegemei EA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida yenu ya kuzungumza mambo usiyoyajua, Kuanzia 2014 hadi 2018 Tanzania ndio iliyokua inauza zaidi Kenya kuliko Kenya inavyouza Kwa Tanzania, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya imeuza zaidi kwa Tanzania, hii ni kwasababu Tanzania ilipeleka chakula kingi Msumbiji, Malawi na Zimbabwe zilizopigwa na kimbunga.Biashara hizo zinaingiza takriban shilingi ngapi kwenye uchumi wa Tz? Maanake unasifia utadhani mnagawa bidhaa bure. Alafu mbona uchumi wenu haupo juu zaidi ya nchi zote zingine SADC na EAC pia kama nyinyi ndio mnategemewa? Bila viwanda vya maana utabaki tu ukiruka ruka bure. Kwa mfano Kenya tunawauzia Tz bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya tunazonunua kutoka Tz kwasababu ya viwanda. Madawa, sabuni na bidhaa zingine kutoka kwa viwanda ndio top products kutoka Kenya. Licha ya hayo hutasikia wakenya wakijimwambafy kwasababu tunaelewa vyema kwamba ni BIASHARA sio misaada. Acha ushamba jombaa.