pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Bidhaa muhimu ni pesa. [emoji1] Nashangaa na miaka yako yote hiyo bado hujajua hilo. Mwisho wa siku ukanda huu wote E&C. Afrika Kenya ndio inaingiza hela nyingi kibiashara kila mwaka. Balance of trade hapa EAC inaegemea upande wa Kenya, nchi zote AM zinanunua bidhaa nyingi Kenya sio 'vice versa'. 2014-18 ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa Tz tangia mpate Uhuru, 2019 mkavunja rekodi kwa kununua bidhaa nyingi kutoka Kenya. Mwaka huo huo Uganda wakawapiku kwa mauzo yao nchini Kenya kisa, sera mbovu za JPM.Kama kawaida yenu ya kuzungumza mambo usiyoyajua, Kuanzia 2014 hadi 2018 Tanzania ndio iliyokua inauza zaidi Kenya kuliko Kenya inavyouza Kwa Tanzania, Tanzania ni namba 3 katika nchi zenye uchumi mkubwa zaidi SADC kati ya nchi 16. Tanzania " balance of trade in SADC is always Positive ". Bidhaa zote muhimu tunazipata toka katika nchi za SADC, Kenya hamzalishi bidhaa zozote muhimu zaidi ya Sabuni, Maziwa, Siagi na Sigara, hizi sio bidhaa muhimu kwetu.