Kenya classifies Namanga border town with Tanzania as COVID-19 high-risk area

Bidhaa muhimu ni pesa. [emoji1] Nashangaa na miaka yako yote hiyo bado hujajua hilo. Mwisho wa siku ukanda huu wote E&C. Afrika Kenya ndio inaingiza hela nyingi kibiashara kila mwaka. Balance of trade hapa EAC inaegemea upande wa Kenya, nchi zote AM zinanunua bidhaa nyingi Kenya sio 'vice versa'. 2014-18 ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa Tz tangia mpate Uhuru, 2019 mkavunja rekodi kwa kununua bidhaa nyingi kutoka Kenya. Mwaka huo huo Uganda wakawapiku kwa mauzo yao nchini Kenya kisa, sera mbovu za JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…