Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
The second longest railway tunnel in Africa was on Monday completed after months of construction.

The SGR Ngong tunnel became the longest railway tunnel in East Africa and second in Africa.

It stretches for 7.41km which is second to the Hex River Tunnels in South Africa which stands at 13.6km.

The route runs from the Em-Bulbul SGR tunnel in Kajiado County and joins the Ngong one to complete part of the second phase of the SGR project.

The project takes the railway line from Nairobi to Naivasha and onward to Narok.

According to the Kenya Railways management, laying of tracks is the next step after completing the tunnel.

The Ngong tunnel has been designed as a single-track railway path with a clearance height of 7.6 metres and a width of 6.4 metres constructed using the three-bench seven-step excavation method.

Benching refers to the creation of a series of steps in the vertical wall of an excavation to reduce the height and ensure stability during construction.

Rocks are blasted to create the tunnel’s arch shape.

The tunnel project which is funded by the Exim Bank of China cost Ksh 150 million.

Construction of the Naivasha line started in January with the production of parts like T-beams and sleepers.

Kenya Completes 2nd Longest Railway Tunnel in Africa [PHOTOS]
 
Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
Uongo mwingine bana. Ujenzi bado unaendelea Ngong' na nilikuwa sehemu hizo jana. Vijana wa kikenya wanachapa kazi vilivyo na niliona wachina wanne tu pekee yake kwenye site yenyewe.
 
"Chinese completes"
Tunajuwa mmewachoka lakini msiwavunjie heshima kihivyo.

Yote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.
 
Uongo mwingine bana. Ujenzi bado unaendelea Ngong' na nilikuwa sehemu hizo jana. Vijana wa kikenya wanachapa kazi vilivyo na niliona wachina wanne tu pekee yake kwenye site yenyewe.
Wewe umetembelea eneo moja, tena wala sio eneo la kitaalamu. Pitia maeneo ya kitaalamu uhesabu wakenya.
 
Wewe umetembelea eneo moja, tena wala sio eneo la kitaalamu. Pitia maeneo ya kitaalamu uhesabu wakenya.
Naona hata ramani ya Kenya huielewi wala hujui shughuli ya ujenzi wa SGR inaendeleaje huku Kenya. Siku nyingine ukiongea kuhusu kwetu County ya Kajiado uwe unaniomba ruhusa kwanza. Okei? [emoji15]
 
Yote tisa lihandaki letu ndio refu ukanda wote huu na limekamilika. Iwe limechimbwa na vibarua wa Kichina cha msingi lipo kwetu na litasaidia pakubwa kudumisha uongozi wetu kwenye soko la usafirishaji wa mizigo.
Nilichifanya mimi ni kurekebisha kichwa cha habari kwamba walio kamilisha mradi ni wachina na sio wakenya kama vile tunaona kwetu wataalamu wa kitanzania wanavyo hojiwa na kutoa ufafanuzi wa mambo ya kiataalamu.
 
Mimi nilona kwa macho yangu, wachimba mitaro, wafagiaji, walinzi mpaka wapishi wanatoka China, sasa si ni wao ndio wanatakiwa wapewe sifa ya ujenzi au? Tena ukizingati pesa ni yao pia.
Sidhani Kama uliyoyasema ni kweli. Hivi ukiajiri mtu akufanyie kazi ikifaulu nani huwa kafaidi ama kupewa sifa. Hapo kwa pesa ni zetu maanake tutalipa. Wewe huwa ama haujawahi kopa toka kwa benki?.
 
Naona hata ramani ya Kenya huielewi wala hujui shughuli ya ujenzi wa SGR inaendeleaje huku Kenya. Siku nyingine ukiongea kuhusu kwetu County ya Kajiado uwe unaniomba ruhusa kwanza. Okei? [emoji15]
Halafu hayo maeneo ya Kajiado mpaka mali 9 nimeshafukuzana sana na GSU wa road block miaka ya 90 mpaka wanachoka wanachia mbali. [emoji23] enzi hizo hakuna mawasiliano ya haraka haraka kama sasa.
 
Sidhani Kama uliyoyasema ni kweli. Hivi ukiajiri mtu akufanyie kazi ikifaulu nani huwa kafaidi ama kupewa sifa. Hapo kwa pesa ni zetu maanake tutalipa. Wewe huwa ama haujawahi kopa toka kwa benki?.
Ukikopa benki iwe umekopa nyumba au gari hati ya mali inakuwa na majina mawili moja lako lingine la aliye kukopesha mpaka umalize deni.
 
Halafu hayo maeneo ya Kajiado mpaka mali 9 nimeshafukuzana sana na GSU wa road block miaka ya 90 mpaka wanachoka wanachia mbali. [emoji23] enzi hizo hakuna mawasiliano ya haraka haraka kama sasa.
Kwahivyo uliona wachina wakifanya kazi zote hizo enzi hizo za akina Jaramogi Odinga? Uongo ni wa nini bana na excavation inaendelea Ngong', Kajiado County na sijaona wachina wakichimba mitaro wala kuendesha matinga? We jamaa bana.
 
Mimi nimekumbia, umeona eneo moja tena sio la kitaalamu kama vile soil analysis, pillar alignment, au track and signal laying . Hebu piti vipicha hapa uniambie wakenya wazawa wana majukumu gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…