eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wewe na wenzako...
Ahaaa haaa haaa
so we are your the benchmark
Teh teh teh tihiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na wenzako...
LDC wenzenu sio? naona mnatambuana kwa vilemba.Maneno kama haya, mkawaambie watu wa nchi kama Togo au CAR lakini sio sisi tunawaona vile mmechoka mbaya.
Mnaelekea huko huko kwenye painful era, this time is invisible with cash strap families and less saving. Pesa yote inaenda ilikotoka thanks to Tano Tena.You are a stack reminder of where we once were and why we shouldn't allow ourselves to degenerate back to that painful error oops era.
Mnaelekea huko huko kwenye painful era, this time is invisible with cash strap families and less saving. Pesa yote inaenda ilikotoka thanks to Tano Tena.
Mimi nimegusia maisha ya kila mkenya, achana na hizo funcy numbers za GDP na FDI etc. Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na malengo ya kina Uhuruto. Moi aliwachapa matakoni, Uhuruto wanawachapa mifukoni (same pain though).Hii statement nimeiskia tangu udogoni kwamba tunaelekea kubaya, lakini kila mwaka tunatanua, leo hii Kenya inazidi kuongeza gap ya uchumi baina yake na mataifa kama Tanzania, tunazidi kuwaacha kwa mbali, miundo mbinu mnayoishangaa leo sisi tayari ilishatuboa.
Kenya ya leo inasepa kwa turbo charge...
You are a stack reminder of where we once were and why we shouldn't allow ourselves to degenerate back to that painful error oops era.
Mimi nimegusia maisha ya kila mkenya, achana na hizo funcy numbers za GDP na FDI etc. Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na malengo ya kina Uhuruto. Moi aliwachapa matakoni, Uhuruto wanawachapa mifukoni (same pain though).
Wivuuuu!Kama mnavyojidanganya na GDP yenu ya uongo wakati nchi inazidi kifilisika.
Hapa ndipo nilijua kuwa nyinyi hapa JF ni waongo tuTeh teh teh tihiii
it's good to have a feel good story and thinking.
Hapa ndipo nilijua kuwa nyinyi hapa JF ni waongo tu
Kwa hoja isiyopingika ama vipi Mkuu? Sukari na sementi Tz bei ghali kuliko hapa Kenya hebu pinga hilo tena kwa data.kwa hiyo wewe unawaamini hawa!!!?
unajua maana ya UPINZANI uchwara?
wenyewe ni kupinga tu, kupinga tu na kupinga tu.