Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

Ahaaa haaa haaa
so we are your the benchmark
Teh teh teh tihiii

You are a stack reminder of where we once were and why we shouldn't allow ourselves to degenerate back to that painful error oops era.
 
Mnaelekea huko huko kwenye painful era, this time is invisible with cash strap families and less saving. Pesa yote inaenda ilikotoka thanks to Tano Tena.
 
Hii statement nimeiskia tangu udogoni kwamba tunaelekea kubaya, lakini kila mwaka tunatanua, leo hii Kenya inazidi kuongeza gap ya uchumi baina yake na mataifa kama Tanzania, tunazidi kuwaacha kwa mbali, miundo mbinu mnayoishangaa leo sisi tayari ilishatuboa.
Kenya ya leo inasepa kwa turbo charge...
 
Mimi nimegusia maisha ya kila mkenya, achana na hizo funcy numbers za GDP na FDI etc. Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na malengo ya kina Uhuruto. Moi aliwachapa matakoni, Uhuruto wanawachapa mifukoni (same pain though).
 
You are a stack reminder of where we once were and why we shouldn't allow ourselves to degenerate back to that painful error oops era.

Teh teh teh tihiii
it's good to have a feel good story and thinking.
 
Wachina wanakaribia kuichukua Kenya kufidia madeni yao ya hivi.
 
Mimi nimegusia maisha ya kila mkenya, achana na hizo funcy numbers za GDP na FDI etc. Wakenya wameanza kuchanganyikiwa na malengo ya kina Uhuruto. Moi aliwachapa matakoni, Uhuruto wanawachapa mifukoni (same pain though).

Huna ufahamu wowote wa Wakenya maana unategemea stori za vijiweni na kwenye Twitter, ni kama jinsi naona kila Mtanzania analia kuhusu vyuma kukaza, japo kwenu nawahurumia maana nchi yenyewe LDC wananchi wake maskini ukuaji wake 3% japo mnadanganyia 7%
 
Kama mnavyojidanganya na GDP yenu ya uongo wakati nchi inazidi kifilisika.
 
ubBRevS.jpg

71Zl80g.jpg
OIRWLC2.jpg
IMG-20180926-WA0007.jpg
 
kwa hiyo wewe unawaamini hawa!!!?
unajua maana ya UPINZANI uchwara?
wenyewe ni kupinga tu, kupinga tu na kupinga tu.
Kwa hoja isiyopingika ama vipi Mkuu? Sukari na sementi Tz bei ghali kuliko hapa Kenya hebu pinga hilo tena kwa data.
 
Back
Top Bottom