Kenya completes the longest railway tunnel in East and Central Africa and second in Africa

Hiyo tunnel yao ni fupi sana sio 7" kilometers acheni uongo

Na tunnel refu zaidi Africa ni hii ya morogoro kwa tunnel za train πŸš‰ Africa 🌍
Wivu wa kike babaa si nikununulie sketi?
 
Then Chinese will take and run it for next 100 years, surely you are nearby after Zambia. They will take your everything even your chicken.
 
Sasa ukishikwa na wivu na hata SGR yenyewe haijaisha je ikiisha si tutapata ulijinyonga... slow down boy usikufe ungali mchanga, tungetaka kama Nyang'au ushuhudie SGR Kenya ikikamilika.
Stop calling your old model SGR, hiyo ni takataka ambayo wachina walitijengea ktk miaka ya 70s. Hebu eleza ukiacha upana wa kati ya reli, kuna tofauti gani ya msingi kati ya TAZARA na hiyo reli yenu?
 
Wakenya mlivyo wala rushwa, hilo tunnel usikute limepigwa 10% na ipo siku litakuja kuanguka na kuua watu
 
Stop calling your old model SGR, hiyo ni takataka ambayo wachina walitijengea ktk miaka ya 70s. Hebu eleza ukiacha upana wa kati ya reli, kuna tofauti gani ya msingi kati ya TAZARA na hiyo reli yenu?
Hii yetu old school inakusumbua hadi ukafungua Uzi...leave us to our own devices bro...pili pili usioila inawashia mdomo yako nini[emoji23] [emoji23]
 
Stop calling your old model SGR, hiyo ni takataka ambayo wachina walitijengea ktk miaka ya 70s. Hebu eleza ukiacha upana wa kati ya reli, kuna tofauti gani ya msingi kati ya TAZARA na hiyo reli yenu?

Tazara ni mavi ya kuku ama ya nguruwe
 
Hii Tunnel imewauma watani wetu wa uswazi yani mpak uzi umefika page 4.
 
Tazara ni mavi ya kuku ama ya nguruwe
Nimetaka tofauti ya kitaalamu iliyopo kati ya TAZARA iliyojengwa na wachina na hiyo mnayojengewa na wachina miaka 40 baadae. Tofauti iliyopo ni upana tu kati ya reli, kama kuna tofauti ingine tafadhali ninaomba unielimishe.
 
Maneno kama haya, mkawaambie watu wa nchi kama Togo au CAR lakini sio sisi tunawaona vile mmechoka mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…