Kenya confirms 178 new CoronaVirus cases, 34 recoveries and 2 deaths

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
The Ministry of Health on Thursday announced that the country had confirmed 178 more positive cases of coronavirus from 3,918 samples tested within the last twenty four hours.

Health Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi, speaking during the launch of a call centre at the Kenya National Hospital (KNH), said this brings the total number of COVID-19 infections to 5,384

According to Dr. Mwangangi, all except three of the new cases are foreign nationals aged between 1 and 76 years old.

The distribution of the new cases in terms of counties was as follows: Nairobi (100), Kajiado (21), Migori (17), Kiambu (16), Busia (8), Mombasa (7), Machakos (4), Nakuru (2), Uasin Gishu (1), Kericho (1), Taita Taveta (1)

The CAS also announced that the ministry had discharged 34 patients from various health centers hence bringing the number of recoveries to 1,857

Two patients also succumbed to the disease, taking the tally of fatalities to 132.
 
Nafikiri lockdown inatakiwa iwe extended zaidi. Instead of a curfew, wakataze yeyote asikatize kokote kwa mwezi mzima.

Ili wacontain hivyo virusi na kushughulika navyo bara bara.

Just like us Tz did.
 
Nashahuri serikali ya Kenya curfew ianze saa moja jioni na kuisha saa moja asubuhi pia waweke total lockdown kabisa ikiwemo kuzuia movement ya watu na magari kutoka county moja kwenda nyingine na wafunge mipaka yao yote wasiruhusu hata magari ya mizigo.

Pia kuzuia usafiri wa umma na biashara mbalimbali za Wakenya.

Jambo lingine wizara ya afya waongezewe pesa ya kununua vitafunio na chai ili waongeze speed ya kupima watu wengi zaidi.
 
Wakenya wamechoka, huku JF wanajipiga kifua kwamba wanajua wanachokifanya lakini ukiaangalia wanayoyasema huko twitter, facebook, serikali haieleweki inafanya nini wengine wanaishutumu inapika takwimu.
 
Nashahuri serikali ya kenya curfew ianze saa moja jioni na kuisha saa moja asubuhi pia waweke total lockdown kabisa ikiwemo kuzuia movement ya watu na magari kutoka county moja kwenda nyingine na wafunge mipaka yao yote wasiruhusu hata magari ya mizigo,

Pia kuzuia usafiri wa umma na biashara mbalimbali za Wakenya.

Jambo lingine wizara ya afya waongezewe pesa ya kununua vitafunio na chai ili waongeze speed ya kupima watu wengi zaidi.
Vizur wazo hata Mimi pia naipongeza wizara ya Kenya kwa kuchukua hatua zenye matokeo naipongeza Sana tena Sana Sana.
 
Wmekwama hawajui nini la kufanya, ujuaji mwingi wakati akili huna mwisho wake ndio huu.
 
Itabidi waongeze pesa ya kununua vitafunio na chai ili waongeze speed ya kupima.
Ila wangeweka baadhi ya vituo kupima kwa masaa 24 tungefurahi tunaimba serikali yetu ya Kenya ilione hili hata kama baadhi ya vituo tu kama itashindikana vyote
 
Wmekwama hawajui nini la kufanya, ujuaji mwingi wakati akili huna mwisho wake ndio huu.
Ujinga ni kuwa huna data yoyote kujua hali ya corona nchini mwako alafu unajiona wewe ni success story na kubeza nchi zingine zinazojitahidi...huu ujinga wa watanzania ndo mwalimu nyerere alitaka sana kupigana nao ila inaonekana itahitaji kazi kweli kama watanzania wote wana akili kama zako....kuupuuza ugonjwa huu haimaanishi haupo na watu hawafariki waulize burundi, it's just that some countries zina uwazi zaidi kuliko zingine....
 
Kupima na kutangaza bila kuchukua hatua accordingly ndio kujitahidi?
 
Ujinga ni kuwa huna data yoyote kujua hali ya corona nchini mwako alafu unajiona wewe ni success story na kubeza nchi zingine zinazojitahidi...huu ujinga wa watanzania ndo mwalimu nyerere alitaka sana kupigana nao ila inaonekana itahitaji kazi kweli kama watanzania wote wana akili kama zako....kuupuuza ugonjwa huu haimaanishi haupo na watu hawafariki waulize burundi, it's just that some countries zina uwazi zaidi kuliko zingine....
Kenya kwa ufisadi ulivyo komalia hata hizo lockdown sijui curfew in kazi Bure. Ni nafasi za rushwa tu mnatengenezea polisi.
Matokeo take ni muongezeko wa kirusi.
UKITAKA KUPAMBANA NA CORONA, ANZA NA VITA DHIDI YA RUSHWA
 
Ujinga ni kuwa huna data yoyote kujua hali ya corona nchini mwako alafu unajiona wewe ni success story na kubeza nchi zingine zinazojitahidi...huu ujinga wa watanzania ndo mwalimu nyerere alitaka sana kupigana nao ila inaonekana itahitaji kazi kweli kama watanzania wote wana akili kama zako....kuupuuza ugonjwa huu haimaanishi haupo na watu hawafariki waulize burundi, it's just that some countries zina uwazi zaidi kuliko zingine....

Takwimu za wagonjwa wote ziko hospitalini. Nenda kule ukapate uhalisia.
Hili la kupima siyo lenu, ni maelekezo ili kuonesha pesa mlizokopa zinatumika kweli kupambana na korona.
Serikali ya kenya, ingeacha kupoteza fedha na muda kukamata watu majiani na kuanza kupima, bali ingeelekeza nguvu kwenye elimu ya kinga na tiba m'badala pale ukihisi dalili za kuugua. Kule Tanzania ndicho wanachosisitiza, kuimarisha kinga na kuwatoa hofu wananchi. Matokeo yake afya jumla ya jamii imeimarika sana. Kinga zao ziko juu sana kwa kuwa wanatumia vyakula vinavyoimarisha kinga sana. Mfano malimao, tangawizi, swaumu, maparachichi, mbegu za maboga. Hivyo hata kama wananchi wote wakiwa na maambukizi, lakini madhara yanakuwa madogo sana. Lingine ni kuwa rais aliwatoa hofu, akawaambia tusitishane na huu ugonjwa, nao utasumbua na kupita au tutalazimika kuishi nao kwa muda mrefu tu kama ukimwi, ndui nk. Ila pamoja na yote haya, tuendelee kuchukua tahadhari kama tunavyoendelea kuchukua tahadhari kwenye ukimwi, malaria n.k. Maneno haya yenye faraja yalisababisha wananchi kuondoa hofu na matokeo yake kinga zikapanda ghafula bini vuu.
 
Frankly speaking [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mie siwaelewi wakenya
MK254 inakuaje kufunga mpaka,lockdown,curfew,mass testing na KDF kupiga dawa mitaani lakini bado tu mnasumbuka mpaka leo
 
Back
Top Bottom