Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Ummy huenda ameshajificha maana Corona inapenda sana mawaziri wa afyaTunasubiri tamko la Ummy Mwalimu.
Mkuu corona virus ni gonjwa la watu weupe na nchi za baridi.Kaka ebu elezea hii vizuri
Hatima ya Kenya iko mikononi mwa watanzania ,tukiamua kupeleka madaktari wetu wa magonjwa ya mlipuko hilo suala ndani ya wiki tu linaisha.
Inawezekana Lakini more proof neededHuu ni uthibitisho kamili kuwa corona ni ugonjwa wa kawaida kwa muafrika
Hii ndiyo hatua kubwa Tanzania imechukua kupambana na Coronavirus!
Tanzania ni pyongyoung ya Africa mashariki!Hapa kwetu hua wanajitahidi kuficha taarifa km pyongyoung.,....muda utasema tu
Time will tell popoma ni nani!Wafiche taarifa ili iweje... Acha upopoma wewe
Yani sisi watz bn duh...,Badala ya kuumiza akili ilikuangalia namna ya kujikinga, na kuombeana dua, hii issue nayo mmeanza kuifanya kuwa ya kisiasa.Wakati Mungu anaanza kuonyesha ukuu wake kwetu vichwa ngumu, asikupite..!Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae Vyakula na mahitaji majumbani mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
Itakuja kutucost......CORONA HAINA VYAMATanzania ni pyongyoung ya Africa mashariki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuja kutucost......CORONA HAINA VYAMA
Hujasikia juzi kua China ni rafiki zetu so wataendelea kuruhusiwa kuja nchini wkt nchi zote zimepiga ban?!Wafiche taarifa ili iweje... Acha upopoma wewe
Kama tulivyopeleka Congo kwenye Ebola?Hatima ya Kenya iko mikononi mwa watanzania ,tukiamua kupeleka madaktari wetu wa magonjwa ya mlipuko hilo suala ndani ya wiki tu linaisha.
Hakuna taarifa itakayofichwa mtu akigundulika atatangazwa ili kuwapa tahadhari wananchi.Time will tell popoma ni nani!
Kuna mengine tujifunze kunyamaza kwa mambo tusio kuwa na taarifa zake, sio unaongea tu ili mradi umeongea!Kabisa mkuu wakati kenya mpaka waliandaa ward in case of emergency ila sisi hatuna habari tupo bize na wapinzani