Kenya confirms first case of Corona Virus

Kenya confirms first case of Corona Virus

Kaka ebu elezea hii vizuri
Mkuu corona virus ni gonjwa la watu weupe na nchi za baridi.
Huku Afrika virusi hivyo haviwezi kuishi.
Hii imethibitishwa baada ya uchunguzi wa awali wa kisayansi.
Ukanda ulioathiriwa duniani ni ule ulio juu au kuambaa na 40 degrees North of the Equator.
Hata hivyo chukua tahadhari!

IMG-20200312-WA0040.jpg
 
mhh nianze kutembea na hand sanitizer sasa, hii kitu imekuwa serious
 
Hatima ya Kenya iko mikononi mwa watanzania ,tukiamua kupeleka madaktari wetu wa magonjwa ya mlipuko hilo suala ndani ya wiki tu linaisha.

Kwa hivyo unamaanisha TZ ina madaktari bora kuliko Kenya? Mbona Kenya hata kule Sierra Leonne kipindi cha Ebola ilipeleka madaktari epidemiologists kusaidia?
 
Bongo ikifika ni kiama tu

na hivi bwana yule asivyo na huruma ni kuzikwa hai na risasi tu

na bora ianzie yale maeneo pendwa alikoshinda kwa wing hapo atawahurumia

huku kimara corona isifike Bali iharibikie huko mwanzamwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae Vyakula na mahitaji majumbani mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
Yani sisi watz bn duh...,Badala ya kuumiza akili ilikuangalia namna ya kujikinga, na kuombeana dua, hii issue nayo mmeanza kuifanya kuwa ya kisiasa.Wakati Mungu anaanza kuonyesha ukuu wake kwetu vichwa ngumu, asikupite..!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Ivi kwani TZ hatuwezi zuia ayo Mandege kuingia ingia uku kwetu jamani watu wakae kwa kutulia makwao
 
Kabisa mkuu wakati kenya mpaka waliandaa ward in case of emergency ila sisi hatuna habari tupo bize na wapinzani
Kuna mengine tujifunze kunyamaza kwa mambo tusio kuwa na taarifa zake, sio unaongea tu ili mradi umeongea!
Wewe unajua maandalizi yaliyo fanywa na serikali ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom