Kenya confirms first case of Corona Virus

Uzuri na ubaya wa Corona kutokana na tafiti zilizofanya inaua watu kuanzia umri wa miaka 60-80yrs old hawa ndio wapo katika high death risk.

Hawa kinga zao za mwili zipo down sana,thus mean if ya immune system is stable unakuwa katika risk ndogo ya kifo.

Kwa wale wagongwa wa HIV wanaofuata dozi zake vizuri sidhani kama Corona inaweza kuwaua,maana dawa zinazofanyiwa tafiti mpk sasa ni NNE ikiwamo ya ukimwi .

Ila bado wataaramu hawajatoa majibu kamili ya tafiti zao mpaka mwezi wa nne na tumebakisha week mbili tu ,tuombe week hizi mbili zipite salama.
Serikali nayo imejipanga vizuri kutuvusha salama maana wametake time kujifunza jinsi ya kukabiliana na ugonjwa na wazungu washaleta mavifaa na maabara maarumu.
 
Tutavuka tu salama kwenye hili janga linaloitikisa dunia!! Inshaallah.

Mungu ni mwema kwetu.
 
Kuna mengine tujifunze kunyamaza kwa mambo tusio kuwa na taarifa zake, sio unaongea tu ili mradi umeongea!
Wewe unajua maandalizi yaliyo fanywa na serikali ya Tanzania?
mkuu una habari hata mask zimekua adimu kwa sasa?
 
mkuu una habari hata mask zimekua adimu kwa sasa?
Hiyo shida imetokea hadi SA nchi iliyo endelea na kusifiwa imejipanga kukabiliana na ugonjwa huu kabla haujaingia.

Juzi kuna mtangazaji mmoja wa DSTV na redio moja hapa TZ alisema walikosa mask kule SA baada ya ugonjwa kuingia.

China kwenyewe kabla ya kuzuiwa kutembea hali ilikuwa mbaya maduka ya dawa foleni kubwa ya kununua mask.
 
Hata Mhindi mwenye uraia wa kuzaliwa wa Kenya ni mkenya so chill down and cool, huo ugonjwa hautuhusu na kama ni mweusi ataishia kupiga chafya na kurudi home.
 
Kenya will deal with this. We already have isolation centres set up in Nairobi, Nakuru, Kisumu, Kakamega, Mombasa, eldoret.


Mbagathi hospital 120 beds


Kenyatta Hospital Infectious disease unit
 
utabiri wa Bill Gates kuhusu Africa na Corona unaenda kutimia hizi punde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…