Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ndo itafanya wafiche covid ikiingia nchini?Hujasikia juzi kua China ni rafiki zetu so wataendelea kuruhusiwa kuja nchini wkt nchi zote zimepiga ban?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo itafanya wafiche covid ikiingia nchini?Hujasikia juzi kua China ni rafiki zetu so wataendelea kuruhusiwa kuja nchini wkt nchi zote zimepiga ban?!
Tuliambiwa Nzige wameshafika Kenya wanafika Bongo muda wowote, kiko wapi?Deal done! ishafika na bongo hii ukute, sema tu kipimo hatuna..
Aliyekwambia tz hawajaandaa nan? Mbona watu mnajifanya much know hivyo?Kabisa mkuu wakati kenya mpaka waliandaa ward in case of emergency ila sisi hatuna habari tupo bize na wapinzani
Wew Ni mpumbav@@Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.
HAPANA HAITAINGIA KWA JINA LA YESU
wameandaa wapi mkuu maana mpaka mask sasa hivi zimekua adimu hata pharmacy zingine hawanaAliyekwambia tz hawajaandaa nan? Mbona watu mnajifanya much know hivyo?
mkuu una habari hata mask zimekua adimu kwa sasa?Kuna mengine tujifunze kunyamaza kwa mambo tusio kuwa na taarifa zake, sio unaongea tu ili mradi umeongea!
Wewe unajua maandalizi yaliyo fanywa na serikali ya Tanzania?
Hiyo shida imetokea hadi SA nchi iliyo endelea na kusifiwa imejipanga kukabiliana na ugonjwa huu kabla haujaingia.mkuu una habari hata mask zimekua adimu kwa sasa?
haya mkuu Titicomb tutajifunza kwa wenzetuKenya will deal with this. We already have isolation centres set up in Nairobi, Nakuru,Kisumu,Kakamega,Mombasa, eldoret.
View attachment 1386842
Mbagathi hospital 120 beds
View attachment 1386852
Kenyatta Hospital Infectious disease unit
Mzee virus anabadilika kutokana na mazingira husika.Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.
Enemy at the gates !!Hatari mlangoni
Kha!!! So ulitaka pharmacy zote ziwe na mask ndo ujuwe kuwa tumejiandaa siowameandaa wapi mkuu maana mpaka mask sasa hivi zimekua adimu hata pharmacy zingine hawana