Kenya confirms first case of Corona Virus

Poleni sana majirani mjaribu kusimamisha muingiliano wa safari za ndege haswa kutoka mataifa yaliyoathirika! maana dalili za Coronavirus huchukua si chini ya siku 5 kuonekana!
Tanzania tumechukua hatua gani so far?
 
Yeah, nimesikia ni kweli. tuwe makini sana. kwenye usafiri wa uma.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atunusuru Na Maradhi Hayo Yasisambae Kenya Yote
Maana Tutakwisha Tunajiona
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae Vyakula na mahitaji majumbani mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
[emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mods mtuwekee translation huku siye tusiojua kingereza tunapata tabu sana[emoji24][emoji24][emoji24]
 
So unaongea jambo usilolijua.... Let's end here
nimekutag picha ya ummy yeye mwenyewe hajavaa mask na yupo mpakani halafu unasema tumejiandaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mataga hamnaga jipya
 
Kuna post naiona sana kutoka kwa Millard ayo inasema colona imeshaingia tz hii imekua verfied jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…