Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tanzania tumechukua hatua gani so far?Poleni sana majirani mjaribu kusimamisha muingiliano wa safari za ndege haswa kutoka mataifa yaliyoathirika! maana dalili za Coronavirus huchukua si chini ya siku 5 kuonekana!