Kenya confirms first case of Corona Virus

Poleni sana majirani mjaribu kusimamisha muingiliano wa safari za ndege haswa kutoka mataifa yaliyoathirika! maana dalili za Coronavirus huchukua si chini ya siku 5 kuonekana!
Sasa wewe umekuwa Daktari
 
Ethiopia has reported the first case of coronavirus in the country. Source CNN
 
Chanzo cha huu ugonjwa ni nini?Ni nani ameuleta? kwa namna unavyovuka mipaka inakuwa kama ni kitu cha kimkakati.
 
mkuu una habari hata mask zimekua adimu kwa sasa?
Mkuu nilisahahu kukuambia kuna daktari bingwa wa magonjwa ya virusi ya milipuko alisema kwa kesi ya Coronvirus mask hizi za kawaida wanazo uza maduka ya dawa hazisaidii sana.
Kasema labda mask zile maalumu kama unazo ona watu wanaohudumia wagonjwa wa Ebola wanavaa.

Mask zikinge na macho yako, anadai ile hewa yenye virusi ikifika machoni tu unaweza kaumbukizwa, ukigusana tu una ambukizwa, sasa jiulize kwa usafiri wetu wa dal dala na mwendokasi atapona mtu?

Mask imekuwa biashara tu, kasema kidogo zina saidia mgonjwa anae umwa asiambukize watu anapo kohoa.

Google "simple surgical face mask doesn't prevent Coronavirus" uone madokta bingwa kibao wamesema hilo jambo.
Ile mnapigwa pesa tu.
 
Badala ya kula hicho chakula safi anaamua kulipiga teke duh!!
ndo maana mnabaka vizee huko Kunyaland kwa akili za kipumbavu sasa hata kusalimiana kwa miguu ushafikiria kubaka! Mbwa kweli wewe! Anza na mamako!
 
Yet umejibu na hata foreign dignitaries wanaiga salamu ya JPM!
 
Yet umejibu na hata foreign dignitaries wanaiga salamu ya JPM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…