Kenya confirms first case of Corona Virus

Kenya confirms first case of Corona Virus

Kama hv
Screenshot_20200313-105406.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia wa Ulaya , America na china inabidi kuwachunguza vizuri, sasa hivi Europe na America hali ni mbaya Zaidi, wanaambiwa kaeni ndani wanakuja na issue za freedom, inabidi kuwa very carefully airport kwa watu wanaokuja kutoka nchi hizo, hii ngoma ni ngumu.
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae Vyakula na mahitaji majumbani mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
 
Hapa kwetu hua wanajitahidi kuficha taarifa km pyongyoung.,....muda utasema tu
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae makaburi mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
Wewe ushaandaa makaburi mangapi?
 
Mipaka kudhibitiwa baada ya Corona kuingia?Walenga walisema heri kinga kuliko tiba!
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa Corona itaficha wala haitatangaza![emoji12]
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae makaburi mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
😂
Nakushangaa Sana!!
 
Kwann mkuu 😀😀😀
Maelfu wamepoteza maisha huko Mungu wako alikuwa amelala au..?
Sahivi unamuomba ati ajionyeshe Kama hakujionyesha huko yafaa nini Sasa..??

Utanisamehe kwa kauli hii "kumtegemea Mungu ni kujidumaza mwenyewe kifikra"!
 
Back
Top Bottom