Kenya confirms first case of Corona Virus

Kenya confirms first case of Corona Virus

hapa waziri anadhihirisha kuwa mask zipo za kutosha mpaka yeye ameshindwa kuvaa Drone Camera
Ukiziweka fikra zako katika upande fulani wa shilingi ni ngumu sana mtu kukushawishi kuhama upande huo ikizingatia ushakuwa mtu mzima sasa... Na mimi natambua hiyo hali so wacha nikupe ushindi..😎😎😎...you win.
 
nimekutag picha ya ummy yeye mwenyewe hajavaa mask na yupo mpakani halafu unasema tumejiandaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mataga hamnaga jipya
Ashapata corona sasa... Tusubir amuambukize rais
 
Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.
Una uhakika unacho kisema lakini? .
CHINESE DOCTOR VIRUS.jpg
 
Back
Top Bottom