Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sasa mbona umebandika uhakika wenyewe niliokuwa nautafuta.Una uhakika unacho kisema lakini? .
View attachment 1387003
Corona kwa Bongo cha mtoto, tatizo Ebola na Ukimwi bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona umebandika uhakika wenyewe niliokuwa nautafuta.Una uhakika unacho kisema lakini? .
View attachment 1387003
Haya mkuu ukimwi mimi nina utibu hauna shida Ebola sijafanya utafiti wa dawa yake.Sasa mbona umebandika uhakika wenyewe niliokuwa nautafuta.
Corona kwa Bongo cha mtoto, tatizo Ebola na Ukimwi bana.
Mgonjwa huyo ambaye imethibitishwa kwamba ana virusi hivyo vya Corona ni mkenya sio mchina. Tena hakutia mguu wake China, alitoka Marekani via London na amekuwa nchini tangu Machi tarehe 5. Kenya confirms first coronavirus case - VIDEONjaa za wakenya wametuangamiza east
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa taarifa yako Corona virus is a HOAX!
Hapa Africa haiwezi kuathiri kitu.
Hapa Bongo jihadharai na Ukimwi,Hepatitis B, Ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine mabaya.

Haya mkuu ukimwi mimi nina utibu hauna shida Ebola sijafanya utafiti wa dawa yake.
Kitu muhimu kwa sisi Watu weusi ni usafi ndio kitu bora sana, pasipo na usafi wa mwili na mahali tunapo ishi maradhi yoyote yatakayo kuja yatatuondoa duniani haraka. Usafi kitu muhimu sana kwa afya ya binadamu.Safi mkuu, na its a matter of time, magonjwa yote yaingiyo mwilini, mwili eventualy inajitengenezea kinga ya asili.
Leo Afrika watu wanatembea na viini vya malaria na hawaumwi hadi vijitengenezee kuzidi kinga ya mwili.
Mzungu vijidudu viwili tu vya malaria vinamwondoa duniani, hana kinga asili.
Waongo hao wachina wametengeneza silaha ya sumu ya Corona Virus ili kukitokea vita wapate kuitumia kuuwa Watu kwenye Vita. Kuna mtu mmoja ameitoa hiyo Silaha kiwandani kuja nayo nje ndio ikasababisha watu wapatwe na Maambukizi ya Silaha hiyo Aka Corona Virus .Wachina wanajuwa kile walicho kifanya. Wachina wanakula miaka mingi Popo na nyoka wa aina zote zile mbona hawaja patwa na hayo Maradhi feki ya Corona Virus? ni Maradhi ya kuteneneza kwenye Viwanda vya silaha za Sumu.Chanzo ni supu ya popo! View attachment 1387075
Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.
Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.
Shule hazitafungwa kwa sasa
Mipaka yote kudhibitiwa.
View attachment 1386764
View attachment 1386765
------
The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country.
Health CS Mutahi Kagwe revealed that the patient is a woman who travelled from the U.S. to Nairobi through London.
“The case was confirmed yesterday (Thursday). She was confirmed positive by the National Influenza Lab,” he said.
According to the Health CS, the condition of the Kenyan woman is stable and her temperature has gone down to normal.
He said the patient is currently at the Kenyatta National Hospital and the Government has traced everyone that she was in contact with.
“What we have is a corona virus positive test. There is no cause for alarm, continue with regular activities,” CS Kagwe said.
The CS further said that Kenyans must take seriously the guidelines issued to prevent infection.
These include thoroughly wash hands and use alcohol-based sanitizer and 1 meter distance from a person who is sneezing or coughing.
Further, a person who is coughing or sneezing should stay at home and avoid crowds..”We have suspended all public gatherings meetings, games, events, church crusades. Churches can have services as long as they have sanitizer,” he added.
Schools are to remain open but inter-school games cancelled, the CS said adding that all visits to prisons are also suspended for the next 30 days.
He also warned against spreading panic on social media platforms saying: “Kenyans must not abuse social media platforms or indulge in acts that will place fear.”
“At the moment, there is absolutely no need for panic or worry provided we keep having the precautionary measures,” the CS added.
“If you take Matatus, buses, trains, we are giving public transport special intervention,” he said.
asante kwa kuja kaka tunaamini wenzetu mmejipanga vizuri, heko kwa wizara ya afya
Hehee, fara sana wwBadala ya kula hicho chakula safi anaamua kulipiga teke duh!!
Yeye anataka mask tu... Ziuzwe pote tuvae woteMkuu nilisahahu kukuambia kuna daktari bingwa wa magonjwa ya virusi ya milipuko alisema kwa kesi ya Coronvirus mask hizi za kawaida wanazo uza maduka ya dawa hazisaidii sana.
Kasema labda mask zile maalumu kama unazo ona watu wanaohudumia wagonjwa wa Ebola wanavaa.
Mask zikinge na macho yako, anadai ile hewa yenye virusi ikifika machoni tu unaweza kaumbukizwa, ukigusana tu una ambukizwa, sasa jiulize kwa usafiri wetu wa dal dala na mwendokasi atapona mtu?
Mask imekuwa biashara tu, kasema kidogo zina saidia mgonjwa anae umwa asiambukize watu anapo kohoa.
Google "simple surgical face mask doesn't prevent Coronavirus" uone madokta bingwa kibao wamesema hilo jambo.
Ile mnapigwa pesa tu.
This topic is very controversial!!!! China or US???Waongo hao wachina wametengeneza silaha ya sumu ya Corona Virus ili kukitokea vita wapate kuitumia kuuwa Watu kwenye Vita. Kuna mtu mmoja ameitoa hiyo Silaha kiwandani kuja nayo nje ndio ikasababisha watu wapatwe na Maambukizi ya Silaha hiyo Aka Corona Virus .Wachina wanajuwa kile walicho kifanya. Wachina wanakula miaka mingi Popo na nyoka wa aina zote zile mbona hawaja patwa na hayo Maradhi feki ya Corona Virus? ni Maradhi ya kuteneneza kwenye Viwanda vya silaha za Sumu.
Hii hapa janja yao....Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.
Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.
Shule hazitafungwa kwa sasa
Mipaka yote kudhibitiwa.
View attachment 1386764
View attachment 1386765
------
The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country.
Health CS Mutahi Kagwe revealed that the patient is a woman who travelled from the U.S. to Nairobi through London.
“The case was confirmed yesterday (Thursday). She was confirmed positive by the National Influenza Lab,” he said.
According to the Health CS, the condition of the Kenyan woman is stable and her temperature has gone down to normal.
He said the patient is currently at the Kenyatta National Hospital and the Government has traced everyone that she was in contact with.
“What we have is a corona virus positive test. There is no cause for alarm, continue with regular activities,” CS Kagwe said.
The CS further said that Kenyans must take seriously the guidelines issued to prevent infection.
These include thoroughly wash hands and use alcohol-based sanitizer and 1 meter distance from a person who is sneezing or coughing.
Further, a person who is coughing or sneezing should stay at home and avoid crowds..”We have suspended all public gatherings meetings, games, events, church crusades. Churches can have services as long as they have sanitizer,” he added.
Schools are to remain open but inter-school games cancelled, the CS said adding that all visits to prisons are also suspended for the next 30 days.
He also warned against spreading panic on social media platforms saying: “Kenyans must not abuse social media platforms or indulge in acts that will place fear.”
“At the moment, there is absolutely no need for panic or worry provided we keep having the precautionary measures,” the CS added.
“If you take Matatus, buses, trains, we are giving public transport special intervention,” he said.
Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.
Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.
Shule hazitafungwa kwa sasa
Mipaka yote kudhibitiwa.
View attachment 1386764
View attachment 1386765
------
The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country.
Health CS Mutahi Kagwe revealed that the patient is a woman who travelled from the U.S. to Nairobi through London.
“The case was confirmed yesterday (Thursday). She was confirmed positive by the National Influenza Lab,” he said.
According to the Health CS, the condition of the Kenyan woman is stable and her temperature has gone down to normal.
He said the patient is currently at the Kenyatta National Hospital and the Government has traced everyone that she was in contact with.
“What we have is a corona virus positive test. There is no cause for alarm, continue with regular activities,” CS Kagwe said.
The CS further said that Kenyans must take seriously the guidelines issued to prevent infection.
These include thoroughly wash hands and use alcohol-based sanitizer and 1 meter distance from a person who is sneezing or coughing.
Further, a person who is coughing or sneezing should stay at home and avoid crowds..”We have suspended all public gatherings meetings, games, events, church crusades. Churches can have services as long as they have sanitizer,” he added.
Schools are to remain open but inter-school games cancelled, the CS said adding that all visits to prisons are also suspended for the next 30 days.
He also warned against spreading panic on social media platforms saying: “Kenyans must not abuse social media platforms or indulge in acts that will place fear.”
“At the moment, there is absolutely no need for panic or worry provided we keep having the precautionary measures,” the CS added.
“If you take Matatus, buses, trains, we are giving public transport special intervention,” he said.
Hivi vitu hakuna siasa kama ikitua wataitangaza tu... Sioni sababu ya kuficha kama ikigundulika... Seems watu hawaamini covid haijafika bongo... Na tutaipata sababu mnaiomba sana.Hawa wenzetu wako vizuri sana kutangaza hali halisi ilyopo tofauti na huku Tz, kila kitu siasa.