Kenya: Covid 19 na vipigo kwa wajumbe

Kenya: Covid 19 na vipigo kwa wajumbe

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
So painful, mwanamke apigwa vibaya na askari wa Kenya. Hivi mnasema nyie mna Katiba mpya? What kind of a social contract you entered that does not protect the rights of people?

Nawahakikishia, mna mazingaombwe siyo katiba.

Wangapi wameuwawa kisa kuzuia corona?

Wangapi wameachwa vilema kisa kuzuia wasitoke nje?

Nchi ya ajabu kweli. Hamna police wanawake? You are very poor.

FB_IMG_1596218219883.jpg
 
Polisi wa kenya Ni hatari zaidi ya Coronavirus COVID-19
Chakushangaza hao askari kwa kupiga RAIA ni hodari ila hapo ukitamka al shababu tu wanatimka mbio bunduki wanatupa na magwanda wanavua ili wasitambulike askari wa Kenya sikuizi wanavaa nguo za kiraia kwa ndani ili wakivamiwa na al shababu waweze kuvua magwanda na kuwa kutoroka al shababu
 
Hawa jamaa wakati wakiwa na kifo kimoja cha corona, kipigo cha polisi kilikuwa kishapumzisha kaburini zaidi ya wananchi sita.
 
So painful, mwanamke apigwa vibaya na askari wa Kenya. Hivi mnasema nyie mna Katiba mpya? What kind of a social contract you entered that does not protect the rights of people?

Nawahakikishia, mna mazingaombwe siyo katiba.

Wangapi wameuwawa kisa kuzuia corona?

Wangapi wameachwa vilema kisa kuzuia wasitoke nje?

Nchi ya ajabu kweli. Hamna police wanawake? You are very poor.

View attachment 1522973
HAUKUBALIKI hata kidogo. Japo haihusiani na Corona hata kidogo, huyu ni mbunge wa kike na ilitokea vurugu katika harakati za kumshtaki Spika. Ila dada/mama zetu nao huwa na kauli kuntu mno pale wanapokuwa na vyeo halafu ajikute mbele ya wanaume aliowazidi mamlaka.
[PHOTOS] Police clobber female MCA in City Hall fracas over Elachi impeachment notice
 
Back
Top Bottom