KabisaUkabila wa Kenya ni zaidi ya corona yenyewe
Chakushangaza hao askari kwa kupiga RAIA ni hodari ila hapo ukitamka al shababu tu wanatimka mbio bunduki wanatupa na magwanda wanavua ili wasitambulike askari wa Kenya sikuizi wanavaa nguo za kiraia kwa ndani ili wakivamiwa na al shababu waweze kuvua magwanda na kuwa kutoroka al shababu
Wakenya kwa kuiga 'muzungu' ?
HAUKUBALIKI hata kidogo. Japo haihusiani na Corona hata kidogo, huyu ni mbunge wa kike na ilitokea vurugu katika harakati za kumshtaki Spika. Ila dada/mama zetu nao huwa na kauli kuntu mno pale wanapokuwa na vyeo halafu ajikute mbele ya wanaume aliowazidi mamlaka.So painful, mwanamke apigwa vibaya na askari wa Kenya. Hivi mnasema nyie mna Katiba mpya? What kind of a social contract you entered that does not protect the rights of people?
Nawahakikishia, mna mazingaombwe siyo katiba.
Wangapi wameuwawa kisa kuzuia corona?
Wangapi wameachwa vilema kisa kuzuia wasitoke nje?
Nchi ya ajabu kweli. Hamna police wanawake? You are very poor.
View attachment 1522973