KENYA: Dada zake Raila Odinga wakamatwa na polisi kwa uchochezi

KENYA: Dada zake Raila Odinga wakamatwa na polisi kwa uchochezi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Dada zake Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga; Ruth Odinga pamoja na Seneta Fred Outa wamekamatwa kwa makosa ya uchochezi na kuachiwa kwa dhamana.

Wametakiwa kuripoti polisi kesho mapema.
 
safi sana polisi, ila kwa nini wamewaachia?! hawa sio wa kuachiq
 
safi sana polisi, ila kwa nini wamewaachia?! hawa sio wa kuachiq
Wameachiliwa na bond kesi ikiendelea.....pia wafungwa wana hali.but kwa kesi hii lazma watakua guilty
 
mambo ya kagame haya...hizi nchi za kiafrika bado ni shida kwenye government ni bora turudi kua colonised countries
 
mambo ya kagame haya...hizi nchi za kiafrika bado ni shida kwenye government ni bora turudi kua colonised countries
We jamaa fuatilia vitu si kurukia... Jamaa waliwapeleka wahuni kufanya kazi yao kisumu na kuharibu hema na viti pamoja na kumpiga mama flani.hiyo inafall under electoral offense huku Kenya.......si kila kitu siasa
 
Dada zake Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga; Ruth Odinga pamoja na Seneta Fred Outa wamekamatwa kwa makosa ya uchochezi na kuachiwa kwa dhamana.

Wametakiwa kuripoti polisi kesho mapema.
Vizuri sana wapate adabu wahuni hawa.Huyu Ruth Odinga amefunzwa tabia mbaya na mkora mkubwa ndugu yake ambaye huleta maandamano ati waondoe maafisa wa IEBC kinyume cha masharti na sheria.
 
Back
Top Bottom