Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameachiliwa na bond kesi ikiendelea.....pia wafungwa wana hali.but kwa kesi hii lazma watakua guiltysafi sana polisi, ila kwa nini wamewaachia?! hawa sio wa kuachiq
We jamaa fuatilia vitu si kurukia... Jamaa waliwapeleka wahuni kufanya kazi yao kisumu na kuharibu hema na viti pamoja na kumpiga mama flani.hiyo inafall under electoral offense huku Kenya.......si kila kitu siasamambo ya kagame haya...hizi nchi za kiafrika bado ni shida kwenye government ni bora turudi kua colonised countries
Vizuri sana wapate adabu wahuni hawa.Huyu Ruth Odinga amefunzwa tabia mbaya na mkora mkubwa ndugu yake ambaye huleta maandamano ati waondoe maafisa wa IEBC kinyume cha masharti na sheria.Dada zake Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga; Ruth Odinga pamoja na Seneta Fred Outa wamekamatwa kwa makosa ya uchochezi na kuachiwa kwa dhamana.
Wametakiwa kuripoti polisi kesho mapema.