Kenya debt is now USD 60 billion against USD 80 billion gdp.
Fresh EU loan adds to growing debt burden
Fresh EU loan adds to growing debt burden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio loan bado hatujaipata. Wacha siasaKenya debt is now USD 60 billion against USD 80 billion gdp.
Fresh EU loan adds to growing debt burden
Nini maana hiyo habari kutoka nation?Hio loan bado hatujaipata. Wacha siasa
Mumeshaweka sahihi, kilichobaki ni money transferring process ambayo kawaida haitangazwi na vyombo vya habari. This is deal done, enjoy your money our brothers and sisters.Hio loan bado hatujaipata. Wacha siasa
Iko approved lakini? ☺?Hio loan bado hatujaipata. Wacha siasa
Leta evidence kwamba tumesaini. Mimi nadhani ni makubaliano tu, na kama kuna signing imefanyika ya ksh 500 billion kwani nilikuwa nimelala?Mumeshaweka sahihi, kilichobaki ni money transferring process ambayo kawaida haitangazwi na vyombo vya habari. This is deal done, enjoy your money our brothers and sisters.
Hii deal imegonga msumari wa mwisho katika jeneza la EAC monetary integration, sio rahisi kuunganisha nchi zenye loan kubwa kama Kenya, na nchi Kama Rwanda ambao hawajafikisha hata $400M.
You have signed agreement kati ya Rotich(GoK) na Balozi wa EU, nini zaidi unataka ili ujue kwamba that is over?. Onyesha procedure za EU zilivyo ili kutoa pesa kwa nchi yoyote kama sio kwa kutumia agreement kama hizi.Leta evidence kwamba tumesaini. Mimi nadhani ni makubaliano tu, na kama kuna signing imefanyika ya ksh 500 billion kwani nilikuwa nimelala?
Mmm magu hakopesheki.Duh.. angalau hizo pesa zingekua zimefanya cha maana. Hivi leo Magu akipata 10b usd, hiyo miradi itakayo kamilishwa nazani Africa itatusahau
Kenya debt is now USD 60 billion against USD 80 billion gdp.
Fresh EU loan adds to growing debt burden
Nini maana hiyo habari kutoka nation?
GDP itaongezekaje wakati zaidi ya 50% ya revenue yenu inatumika kulipia madeni, hamna tena pesa kwa ajili ya kuwekeza katika development projects, hiyo GDP itakua kwa kuombewa makanisani?1. Loan hatujapewa.
2. Loan hatutapewa yote pamoja.
3. By the time loan yote itafika, GDP itakuwa imeongezeka.
4. By the time loan yote itafika, loan zingine zitakuwa zimelipwa.
GDP itaongezekaje wakati zaidi ya 50% ya revenue yenu inatumika kulipia madeni, hamna tena pesa kwa ajili ya kuwekeza katika development projects, hiyo GDP itakua kwa kuombewa makanisani?
Private sector is on death bed, the stockmarket has crashed, profits from all companies have plummeted except banks& safaricom. Credit cap law has had negative effects, The Shilling is under pressure and CBK is burning its reserves to prop it up. There is no more room for loans to padd the cash reservesKenya is not Tanzania where government does everything.
Kenya's GDP is driven by the private sector.
Alafu kuna jambo unanishangaza. Ukisema tunatumia 50% kulipa madeni, kwa akili yako unadhani tunalipa madeni ya miaka ya 1990??
Tunalipa madeni ya sasa, ambayo inajenga barabara na reli sasa, ambayo inaweka stima sasa, ambayo inajenga mahospitali sasa. na kadhalika.
Haya madeni ndio pesa inayowekezwa katika development projects sasa hivi.
Unaposema hatuna pesa kwa ajili ya development projects, nashindwa sana unachosema.
Private sector is on death bed, the stockmarket has crashed, profits from all companies have plummeted except banks& safaricom. Credit cap law has had negative effects, The Shilling is under pressure and CBK is burning its reserves to prop it up. There is no more room for loans to padd the cash reserves
GDP Growth is now dependent on Eurobond proceedes not Private sector investment
Kila mwaka lazima nchi itenge bajeti kwa ajili ya development projects ambazo ndizo zinazochochea ukuaji wa uchumi kwa kujenga mazingira mazuri kwa SME, kama miradi ya maji, umeme, barabara vijijini, afya na miradi mingine ambayo returns zao zinatokea ndani ya muda mfupi, ukitegemea miradi ya muda mrefu kama SGR ambayo hukamilika kwa kipindi kirefu, wakati wa ujenzi GDP itakuzwa na kitu gani?.Kenya is not Tanzania where government does everything.
Kenya's GDP is driven by the private sector.
Alafu kuna jambo unanishangaza. Ukisema tunatumia 50% kulipa madeni, kwa akili yako unadhani tunalipa madeni ya miaka ya 1990??
Tunalipa madeni ya sasa, ambayo inajenga barabara na reli sasa, ambayo inaweka stima sasa, ambayo inajenga mahospitali sasa. na kadhalika.
Haya madeni ndio pesa inayowekezwa katika development projects sasa hivi.
Unaposema hatuna pesa kwa ajili ya development projects, nashindwa sana unachosema.
Kila mwaka lazima nchi itenge bajeti kwa ajili ya development projects ambazo ndizo zinazochochea ukuaji wa uchumi kwa kujenga mazingira mazuri kwa SME, kama miradi ya maji, umeme, barabara vijijini, afya na miradi mingine ambayo returns zao zinatokea ndani ya muda mfupi, ukitegemea miradi ya muda mrefu kama SGR ambayo hukamilika kwa kipindi kirefu, wakati wa ujenzi GDP itakuzwa na kitu gani?.
kuhusu private sector yenu kwamba ndiyo mumeiachia kukuza uchumi wenu, mbona inashindwa kupambana na Tanzanian?, Uchumi wetu unakua kwa 7.1%, wenu 5.8%, Manufacturing sector TZ 6.7%, KE 4%; Tourism TZ $2.2B, KE $1B; Tanzania gets FDI $2.4B, Kenya gets $600M, where is that strong private sector you are talking about?