joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Iko wapi private sector yenu mbona tunawashinda katika sector zote? nimekutajia hapo juu, hiyo private sector yenu ipo wapi?. Huwa ninakuambia kwamba media zenu zinawajaza ujinga na ninyi wenyewe mnakubali kuwa wajinga, tunawashinda kila eneo lakini bado unaimba private sector.Private sector ya Kenya inaweza kaa stagnant miaka 20 na ya Tanzania haitawai ifikia. We're decades ahead of you.
By the way, kwa hio pesa yote tumekopa, less than 20% imeenda kwa reli.
Mingi imeenda kwa hizo vitu unataja hapo. Barabara, industrial parks, maji, umeme, hospitali etc.