Kenya debt now 75% of GDP

He says the country has a healthy mix of debts and that it is what is required to spur growth.
 
Hio loan bado hatujaipata. Wacha siasa
Mumeshaweka sahihi, kilichobaki ni money transferring process ambayo kawaida haitangazwi na vyombo vya habari. This is deal done, enjoy your money our brothers and sisters.

Hii deal imegonga msumari wa mwisho katika jeneza la EAC monetary integration, sio rahisi kuunganisha nchi zenye loan kubwa kama Kenya, na nchi Kama Rwanda ambao hawajafikisha hata $400M.
 
Leta evidence kwamba tumesaini. Mimi nadhani ni makubaliano tu, na kama kuna signing imefanyika ya ksh 500 billion kwani nilikuwa nimelala?
 
Leta evidence kwamba tumesaini. Mimi nadhani ni makubaliano tu, na kama kuna signing imefanyika ya ksh 500 billion kwani nilikuwa nimelala?
You have signed agreement kati ya Rotich(GoK) na Balozi wa EU, nini zaidi unataka ili ujue kwamba that is over?. Onyesha procedure za EU zilivyo ili kutoa pesa kwa nchi yoyote kama sio kwa kutumia agreement kama hizi.
 
Tanzania is $52 billion. Dept $20 b. 45% of GDP.
Taz hatukopesheki.
 
''Already, the International Monetary Fund (IMF) has cautioned Kenya over the rising debt saying it is likely to pose a repayment risk unless better policies are employed to strengthen capacity to undertake cost-risk analysis of borrowing options on commercial loans''
Tajiri hukupa zaidi ya masikini so kama nchi yako haikopesheki kiwango kikubwa wewe jua kuwa wewe ni masikini na huwezi aminika kulipa deni kubwa. Mliosamehewa madeni mnajijua kwa kutoa povu.
 
1. Loan hatujapewa.
2. Loan hatutapewa yote pamoja.
3. By the time loan yote itafika, GDP itakuwa imeongezeka.
4. By the time loan yote itafika, loan zingine zitakuwa zimelipwa.
GDP itaongezekaje wakati zaidi ya 50% ya revenue yenu inatumika kulipia madeni, hamna tena pesa kwa ajili ya kuwekeza katika development projects, hiyo GDP itakua kwa kuombewa makanisani?
 
GDP itaongezekaje wakati zaidi ya 50% ya revenue yenu inatumika kulipia madeni, hamna tena pesa kwa ajili ya kuwekeza katika development projects, hiyo GDP itakua kwa kuombewa makanisani?

Kenya is not Tanzania where government does everything.
Kenya's GDP is driven by the private sector.

Alafu kuna jambo unanishangaza. Ukisema tunatumia 50% kulipa madeni, kwa akili yako unadhani tunalipa madeni ya miaka ya 1990??
Tunalipa madeni ya sasa, ambayo inajenga barabara na reli sasa, ambayo inaweka stima sasa, ambayo inajenga mahospitali sasa. na kadhalika.

Haya madeni ndio pesa inayowekezwa katika development projects sasa hivi.
Unaposema hatuna pesa kwa ajili ya development projects, nashindwa sana unachosema.
 
Private sector is on death bed, the stockmarket has crashed, profits from all companies have plummeted except banks& safaricom. Credit cap law has had negative effects, The Shilling is under pressure and CBK is burning its reserves to prop it up. There is no more room for loans to padd the cash reserves
GDP Growth is now dependent on Eurobond proceedes not Private sector investment
 

Kenya private sector can slow down for 20 continuous years, but Tanzania can never catch up. Because you don't have any private sector in the first place. Your GDP is 90% driven by government.

CBK spending dollars to stabilize the shilling is part of its job description. And we have more than double the foreign reserves as Tanzania, so we have more than double the capacity to stabilize our shilling.

Also, you cannot say the private sector is 'on its death bed' yet KRA keeps growing its revenue quarter after quarter.
You are equating missing targets to lack of growth.
 
Kila mwaka lazima nchi itenge bajeti kwa ajili ya development projects ambazo ndizo zinazochochea ukuaji wa uchumi kwa kujenga mazingira mazuri kwa SME, kama miradi ya maji, umeme, barabara vijijini, afya na miradi mingine ambayo returns zao zinatokea ndani ya muda mfupi, ukitegemea miradi ya muda mrefu kama SGR ambayo hukamilika kwa kipindi kirefu, wakati wa ujenzi GDP itakuzwa na kitu gani?.

kuhusu private sector yenu kwamba ndiyo mumeiachia kukuza uchumi wenu, mbona inashindwa kupambana na Tanzanian?, Uchumi wetu unakua kwa 7.1%, wenu 5.8%, Manufacturing sector TZ 6.7%, KE 4%; Tourism TZ $2.2B, KE $1B; Tanzania gets FDI $2.4B, Kenya gets $600M, where is that strong private sector you are talking about?
 

Private sector ya Kenya inaweza kaa stagnant miaka 20 na ya Tanzania haitawai ifikia. We're decades ahead of you.

By the way, kwa hio pesa yote tumekopa, less than 20% imeenda kwa reli.
Mingi imeenda kwa hizo vitu unataja hapo. Barabara, industrial parks, maji, umeme, hospitali etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…