Kenya debt now 75% of GDP


You should start engaging your brain.
What amount of oil do we have?

Kenya also has gold and most of those minerals you have, but not in significant quantities like you.

FDI ni sector gani ya private sector economy?

Na hizi growth rate unapenda kupost hapa, jua kwamba if we were to look at GDP as a loan, your principal is very little.

When Kenya grows by 5.6%, and you grow by 7.1%, In absolute figures, Kenya has grown more.

Hio 7% ni pesa kidogo kuliko hio 5.6% yetu.
 
Acha ujinga wewe, tunaposema tourism revenue, ni pesa yote ambayo mtalii anaitumia awapo nchini, hii inamaana anapotua pale airport hadi siku anapoondoka nchini, kuanzia visa fees, hotel, tax, gate fees, vyote hivyo vinajumuisha ktk tourism revenue.

Tanzania tunasisitiza high value tourism, maana yake tunapata watalii wanatumia pesa nyingi per day, wakati ninyi mnasisitiza "mass tourism". Acha ujinga wenu, tumewazidi sana katika utalii, hata Balala amekiri kwamba Kenya is losing to Tanzania.
 
Vipi kuhusu tourism revenue, FDI, sugar production na food production, sikusikii ukizingumzia kuhusu haya maeneo ambapo tumewazidi kwa mbali sana.

Boss.
Sector za uchumi ni kama nilizolist.

Sugar production iko katika manufacturing.

Kama unataka tuangile hio sector, tutaangalia manufacturing yote.

Huwezi angalia sugar production pekee katika industry ambayo ina bidhaa zisizohesabika.

Ukweli ni huu.

Manufacturing contributes 19% to Kenya's GDP - $14 billion
Manufacturing contributes 22% to Tanzania GDP - $11 billion

Alafu, more than 99% ya hii manufacturing Kenya ni ya private sector sio serikali.

Sasa, toa evidence kwamba food production yenu imepita yetu.
 
Foreign Direct Investment(FDI), is the total amount of capital invested in the country by foreigner investors.
 

Kama unajua kusoma, kasome hii ripoti ya World Tourism Council.
The total contribution of tourism to the Kenyan GDP in 2017 was Ksh 761 Billion. Which is almost 10% of our GDP.

 
Foreign Direct Investment(FDI), is the total amount of capital invested in the country by foreigner investors.

Maana ya FDI naelewa.
Nimekuuliza ni sector gani ya economy?

Wacha ni kusaidie.

FDI sio industry ndani economy. Industry za economy ni kama vile media, transportation, mining, banking na kadhalika.

Na ukweli ni kwamba 80% ya FDI yenu huenda kwa kununua mashine za mining.
 
FDI inaonyesha ni kwa kiasi gani investment inavyofanyika nchini, yaani private sector inavyowekeza nchini. Sector zinazoongoza kwa uwekezaji Tanzania ni
1)Manufacturing
2)Tourism
3)Telecommunications
4)Mining
5)Construction
6)Banking

Ninyi mnadanganywa na media zenu mkidhani mining ndiyo inayopokea pesa nyingi. Huwa ninakishauri uanze kutafuta information achana na kung'ang'ana na propaganda za Kenya, pitia hapa " www.tic.gov.tz
 

You have nothing specific to say. So you just throw in things.

We can easily calculate the monetary value of all those sectors of the economy, by looking at how much they contribute to your GDP.
From available figures, manufacturing contributes 22% to your GDP.
Fanya calculation sasa.
 
Acha kuchanganyikiwa, wewe ulisema 80% ya FDI inatumia kununua MASHINE za mining sector, nilichofanya ni kukuonyesha kwamba wewe ni mwongo na hujui kitu zaidi ya kusikiliza propaganda za media za Jubilee. Sasa unatoroka baada ya kugundua huko nimekubada, thibitisha kwamba 80% ya FDI inatumika kununua mashine za mining, otherwise shut up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…