Tuletee pia deni la Marekani, Japani na kadhalika humu ushamba watanganyika, nchi tajiri hukopesheka sana tena sana kwa maana ina uwezo na ubavu wa kulipa,benki siku zote huchunguzaa uwezo wa kulipa tu kabla hawajaidhinisha mkopo wowote hata hao matajiri wakuu kabisa hupewa mikopo kubwa kubwa ajabu ,weye kanyaboya kajamba mlala hoi hukopesheki abadan kahtan ,.labda shilingi nane za madafu tena kwa mara moja tu,ila tajiri hupewa hundi nono, tena akirudi kabla ya kumalizia malipo huongezewa tena na tena.
kalb hayawani hawa.