Kenya declares war on Al Shabaab!

Hapo naona Annan hajakosea. Hivi vita vitachukua muda mrefu na huenda vitaitia Kenya kwenye matatizo mazito. Nakumbuka vizuri sana vita ya Uganda ilivyoanza na wote tulikuwa tunafikiria itachukua wiki chache lakini haikuwa hivyo. Madhara yake (kiuchumi) bado mpaka leo yanaonekana. Kwa hiyo wakenya hapa wanatakiwa wawe makini sana!
 
Duh!Kama wameshaijenga Eastleigh kiasi hiki basi kuna mkono wa hizo pesa za pirating siyo siri!
 
Kenya waelewe kwamba Somalia hakuna kiongozi wa kumuua halafu ukatangaza mwisho wa mapambano.Ni watu wa kawaida tu ambao kutokana na shida za miaka mingi wamekuwa na roho ngumu.Kujitoa muhanga kwao si kazi.Kutokana na kiwewe cha vita Kenya itabughudhi raia wake wenye asili ya kisomali ambao ni wengi hatimae kutakuwa na machafuko ndani ya Kenya na hiyo itakua hatua nyengine ngumu ya vita.Si rahisi kuwaweka ndani wote wanaoitwa sympathizers wa Alshabaab bila kufanya makosa yatakayoleta machafuko ndani ya jamii ya Kenya.Jamii ya Kenya yenyewe haiko tulivu hata kidogo kutokana na umaskini wa kutupwa.Ni rahisi kuripuka kimawazo kuliko jamii nyengine.
Ni mchango tu ambao kwa sikio la kufa utapuuzwa lakini utakumbukwa.
 

Inakaa wewe huelewi sababu zetu zakuingia vitani na alshabab, unaona ni kama tunawaonea wenzako kwa kuwa ni waisilamu, haujajiuliza ni kwa mda gani tumewa tolerate hawa magaidi. wakijaribu kupiga Nairobi ndio watajua kenya si mchezo, tutawamaliza wote na hao ma simpathisers. usisahau mimi naongea hivi kama Mkenya Muislamu
 
Kenya turns to home in Shabaab crackdown
By Humphrey Malalo and Sahra Abdi NAIROBI/MOGADISHU | Fri Oct 21, 2011 10:54am EDT

(Reuters) - Kenya charged two doctors Friday with being members of Somalia's al Shabaab militant group, intensifying a crackdown against the rebels as its troops pressed on with a cross-border operation in Somalia. After a spate of kidnappings against foreigners that have threatened the East African country's major tourism industry, Kenyan troops moved suddenly into Somalia to secure the porous border from al Qaeda-linked rebels.

Kenya has long looked nervously at its anarchic neighbor and has launched some brief incursions in the past, but this operation is on a much larger scale that raises the risk of reprisals from al Shabaab who have proven capable of deadly suicide attacks within and outside Somalia.

As Kenyan and Somali government troops tried to secure militant strongholds in the south of the country, Kenyan security forces turned their attention within their own borders and arrested two doctors in a Nairobi neighborhood with a large Somali community.

"Ali Omar Salim and Adan Hassan Hillow were charged with engaging in organized criminal activity on or before October 20 in Nairobi ... (and) found engaging in an organized criminal activity by being members of al Shabaab," their charge sheet at Nairobi chief magistrate's court said.

Deputy police spokesman Charles Owino said the two had been detained in the Eastleigh suburb -- which has a large Somali population from both Kenya and Somalia -- earlier this week.

"We are cracking down everywhere. Within the country and in Somalia," Owino said.

Reuters reporters have in the past seen al Shabaab fighters in Eastleigh, sometimes returning for medical treatment, and Somali parents living there complain that some mosques actively recruit youths to fight for al Shabaab.
 
Msomali kila alipo ni nuksi,iwe Kenya,Marekani(Minnesota),Tanzania,Uganda etc etc.
Ungekuwa Mogadishu,wangekulazimisha wakufanyie "genital mutilation"
 
Wewe nawe uislamu wako una mashaka kama ulivyoelezwa huko nyuma.Hii ni kutokana na hiyo avataar uliyochagua ya kisoda cha bia.Si hivyo tu bali hata mawazo yako si ya waislamu.Muislamu huwa hapigani kwa sababu nyepesi kama za Kenya na akichokozwa huwa harudi nyuma.Ukitaka kujua angalia msimamo ambao nao pia si madhubuti lakini kielelezo kinapatikana.Nakusudia marehemu Ghadafi.Hakusalimu amri na kapigana mpaka tone la mwisho.
Tukiacha hiyo narudi kwako kwamba inaonekana hufuatilii mienendo ya vita duniani.Unadhani kuwamaliza watu ni kitu rahisi kwa njia ya mapigano.Ingekuwa hivyo hali ingekuwa shwari Iraq,Afghanistan,Palestina na kwengineko.Huko wanaoendesha hiyo operesheni ya kumaliza wenzao ni wababe wa dunia wenye nguvu kubwa za kiuchumi.Hilo halitowezekana kwa Kenya yenye njaa na rushwa 100%.Kwa akili yako ya tusker huwezi kuona hilo lakini utaanza kuzinduka siku kombora la Alshabaab litakapovuruga gari la kijeshi la Kenya huko huko Somalia mulikowafuata na wala si Nairobi.
 

sasa wewe wasema mimi si muislamu kwa kuwa we dont share the same school of thought, ama kwa kuwa nimeweka picha ya bia kama avatar yangu? hao waisilamu bandia tutawakanyaga nje na ndani ya Kenya mpaka wakome, walilie simpathisers kama wewe ujifunge mkanda wa bomu utulipue. unaakili nzuri kweli weye.. ehh na nakunywa pombe, tusker, whats that got to do with anything, f*cking extremists.
 
Kenya planned The Somali war two years ago after sensing that Ugandan and Burundian troops had no capacity to dislodge Al Shabaab from major key Somali cities.

East Africa's biggest economy entered Somalia last Sunday and they have so far captured six Al Shabaab controlled towns and vowed to Capture Kismayu---a haven for Pirates and Al Key revenue source for Al shabaab.

There is acrimony within the Kenyan Millitary that Uganda's UPDF forces have done little since they entered Somalia and this could have been a catalyst for the Kenyan Army to swing into action.UPDF large numbers of soldiers is poorly trained and lack equipment to deal with Al Shabaab

Miilitary Spending and the issue of F-16 Fighter Jets

Kenyan was the third biggest Millitary spender last year after South Africa and Angola.This explains why it has so far moved over 600 Armoured Personnel carriers and 280 tanks to Somalia.Over 45 fighter jets are in action over Somalia,82 long range Helicopter bombers and 52 Navy Vessels now hovering around the Somalia Coastline

The US government have reported being unaware of Kenyan invasion but claim that the Kenya Army nowadays does not share intelligence with them since the Obama Administration shot down their quest to acquire 12 F-16 Fighter jets which latter were sold to the Moroccan Air
force
 
kwa tishio la usalama lililoko border, nchi yoyote ingejiandaa kwa vita kama sehemu ya kujilinda
 
Kenya says Somalia rebels on the run

22 Oct 2011 10:43
Source: reuters // Reuters

Kenyan troop stand guard at the Garrisa airstrip near the Somali-Kenyan border October 18, 2011. REUTERS/Stringer

* Kenya pours more troops into Somalia
* Shabaab claims victory in Mogadishu battle
By Aaron Maasho and Ibrahim Mohamed

NAIROBI/MOGADISHU, Oct 22 (Reuters) - Kenya said Somalia's al Shabaab militants were on the run after it deployed more troops in southern Somalia to secure its border from rebels Nairobi accuses of kidnapping foreigners on its soil. But in the capital Mogadishu, the al Qaeda-linked militants have been putting up stiff resistance against African peacekeepers (AMISOM) and government troops who in August had driven the rebels out of most of the city.

Kenyan troops stormed the Somali border six days ago to oust the militants who they say have taken several foreigners hostage in recent weeks threatening the country's reputation as a relatively safe investment and tourism destination.

Kenyan Foreign Minister Moses Wetangula said Nairobi was making gains against the insurgents.

"We've made tremendous progress and al Shabaab are definitely on the run. They are also looking weaker by the day,"
he told reporters late on Friday after an emergency meeting of regional group IGAD in the Ethiopian capital Addis Ababa. Kenya has launched brief cross-border incursions into Somalia after the militants launched an insurgency in 2007 but this operation is on a much larger scale, signalling Nairobi's determination to eradicate the threat to the country.

Witnesses said on Friday that armoured vehicles and trucks carrying weaponry, food supplies and tents were seen leaving four military camps in Isiolo in northern Kenya and heading towards the border.

"The whole area is like a warzone. It's like the whole of our military is going to Somalia," said Ali Barre, a resident at Diff village in Wajir south, near the Kenyan-Somali border.

Kenya is the latest of Somalia's neighbours to become deeply involved militarily in a country that has not had an effective government for the last 20 years and where al Shabaab's presence has had serious security repercussions on the region.

Full Story
 
Mbona Tanzania ilishajiandaa miaka mingi tu nyuma kama nchi yeyote jirani italeta fyokofyoko.
 

An enemy within. Kenyans need to brainstorm about this. Even Tanzanians security forces needs to brainstorm this also.
 
kwa tishio la usalama lililoko border, nchi yoyote ingejiandaa kwa vita kama sehemu ya kujilinda


 
Sera ya utalii Kenya kuanza kusambaratika?

U.S. Warns of Terrorist Threat in Kenya


By Paul Richardson - Oct 22, 2011 9:05 PM GMT+0200

The U.S. Embassy in Kenya warned a terrorist attack may be imminent in the East African nation, six days after Kenyan soldiers entered neighboring Somalia to combat al-Qaeda-linked rebels.

The embassy received "credible information of an imminent threat of terrorist attacks directed at prominent Kenyan facilities and areas where foreigners are known to congregate, such as malls and night clubs," said a statement e-mailed by the State Department today.

"U.S. citizens should take this information into account when planning travel and consider deferring travel at this time,"
the message said.

Kenya sent troops to Somalia on Oct. 16 after officials blamed the kidnappings of foreign tourists and aid workers in Kenya on al-Shabaab, a militia that has pledged allegiance to the al-Qaeda terrorist network.

Somalia, on Kenya's northeastern border, hasn't had a functioning government since the 1991 overthrow of dictator Mohamed Siad Barre.

CNN
 
Hivyo ndivyo ambavyo Marekani imefanikiwa kuiingiza dunia yote kwenye vita kwa faida ya ubeberu wake.
Wamevuruga mambo huko Asia ya kati sasa wanakimbia wanakuja Afrika Mashariki na kati.
Unakumbuka enzi za Osama eti kila mara wanatoa maonyo na kueleza watu kwamba muda si mrefu Alqaeda itatoa mkanda mpya.Walijuwaje kwamba kuna mkanda mpya utatolewa na washindwe kuwakamata watoaji wa huo mkanda ili wakawaoneshe alipo Osama?.
Hapa tena eti wana credible information,si wawaambie hao wakenya ili wazuie hilo shambulio.Wasipofanya hivyo wao ndio wapangaji au ni uongo unaokusudia kuwatia watu kiwewe na kukosa umakini katika kazi zao na kuwafanya wasiaminiane tena.Allah daima awe nasi dhidi ya uadui wa Marekani .
 
Taarifa za uhakika kwa mujibu VOA zinaeleza kuwa ubalozi wa Marekani nchini humo una hatihati ya kulipuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…