Kenya declares war on Al Shabaab!

du!huku kwetu li umeme lao wamelichukua!afu nimeona naibu wazir akisema mgao sasa basi!kweli nchi hii kazi ipo!siasa tuu!
 
unajua hawa jamaa ni wajinga sana sasa St Peter's Claver inahusiana nini na jeshi la Kenya kuwa Somalia? kwanini wasilipue kambi za jeshi?
 
mbinu za kutafuta kuungwa mkono na mjaluo mwenzao pia mama yao malkia Elizabeth
 
1 person is reported dead while several others injured. Souce; kbc tv
 
Bado habari zina utata maana inaonekana its two explosions...one at St Peters na nyengine katika kituo cha basi cha zamani zha OTC.

R.I.P. to the person who has died.
 
Nimependa jinsi kenya walivyo fast kwenye matukio, usiku ule tayari ambulance ilishafika na waliojeruhiwa kupata msaada kwa haraka. Ingekuwa kwetu...nadhani msaada ungekuwa masaa 6baadae
 
Kwakweli imewachanganya hat ku-edit news item imekuwa shida au wamempa rastafarian afanye editing... wanaripoti " One people" has died " badala ya" one person"
Kiti moto..wanatakiwa wawe makini kama walipanga kwa kukurupuka au kumfurahisha fulani basi.cha mtema kuni kilichotoa kanga manyoya watakiona.. Bonmgo nasiksi tujizatiti maana mwezio akinyolewa wewe tia maji kichwani!! Hawajui utu hao..kama mtu anawqeza kujilipua mwenyewe..wewe mbele yake ni nani.. nadhani ni kuni!!!
 
Yeah KBC na CITIZEN wanatoa idadi tofauti ila ni kati ya mmoja na watano wameshatangulizwa mbele ya haki jioni hii
 

I agree with you! ni shida sana kupigana na informal militants kama Al-shabab or Taleban, hawa hawana kambi wala uniforms. Marekani na NATO pamoja na kutumia satelite na Drone attacks kwa sana huko Afghanistan na Pakistan na Somalia hivi karibuni, mpaka leo hakijaeleweka. Itakua kwa Kenya. Ukichukulia wana geographical disadvantage-too close to Somalia, ambapo Al shabab wanaweza kuja mapaka Nairobi hata kwa miguu. Wajiandae iyo vita haitakwisha leo wala kesho.
 
Ali shababu hao...mungu aepushe wasije kwetu huku
 
hizi vurugu zinapoelekea nathani wasomali eastleigh nairobi wakae mkao wa kula! Picha inavyoonyesha Mungiki wanaweza kuwashukia huko soon...
 
Naona somali kenya community wametoa tamko kwamba wasiwe branded kwani wao ni wakenya wahusika ni kikundi tu
 
hawa Al shab kenya inaonekana wali-sha leta hivyo vifaa vyao ndani ya kenya muda mrefu, nafikiri pale walipopiga mabomu UG wakati wa World Cup, hivyo inakuwa rahisi kwa wao sasa kuvitumia hapo nairobi, sasa hivi ni kupiga search saana nyumba za hao al shab, maana walivyo walemazia damu wakifikiria uwekezaji, matokeo yake ndio haya, sasa bongo muanze kujihami na mapema, sio nyoka akisha ingia ndio unastuka toka usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…