Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
Usisahau kwamba kuna wakenya wengi wenye asili ya kisomali. Ni vigumu kujua mamluki.
 
Kenyan troops will never be cowed by a grenade attack in Nairobi that left 14 injured.the gsu recce company will be providing security there while kenya army plan to take over kismayo in a major ground battle ever.lets wait and see coz am sure that leader of alshabab wil either be killed or captured.they hv nowhere to run cz we are attacking them from two fronts.we hv sent aproximately 4000 troops to somalia.both entered from diferent fronts while the navy is going to kismayo also fitted with heavy weaponry and with orders to bring down any boat with militias.no escaping this tym round.the air is manned by the KAF with orders to bomb any suspicious flying object.
 
Ajabu ni kuwa hili shambulio limetokea siku ile ile Ubalozi wa Marekani ilipotoa onyo na kusema ina taarifa ya shambulio linalonukia.

Now!! hapo kuna mashaka on how was it planned and the USA acknowledgement on it.
 
Ama kweli Al shabaab hawana utani hata kidogo na ukijaribu kuangalia karibu TOP wao wote wanadondoshwa kwa hiyo wana hasira ya balaa. Mi kwa mtazamo wangu wa haraka ni kheri watolewe ile jamii ya Kisomali ilyoko pale Kenya la sivyo wasumbua sana hapo Nairobi. Angalizo tu!!!!!!!!!!!!!
 
Ami, udini utakumaliza yakhee!....unajizungusha kwa maneno hapo juu kumbe unalako kichwani.
Hivi wewe unaona raha gani kuona hawa Al-shabaab wakiua kila siku? tena wanaowaua ni waislaam wenzao!.
Unaacha kuwasema wauwaji,badala yake unawasema ubalozi wa marekani...sic!
Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu tu.Ndio kweli wewe na Smata akili zenu zimedumaa kiasi hiki mpaka munashindwa kuhoji vitu vya wazi.Munaogopa kuuliza ubalozi wa Marekani uliotoa onyo la Shambulio.
Nyinyi mnashindwa kuona uhusiano wa shambulio na Marekani iliyojuwa hilo tukio kabla.Kwa akili zenu Ubalozi wa Marekani unatumia vifaa gani kuhisi matukio kama hayo.
Ni aibu kwa Kenya na Afrika kuwa na watu wenye akili duni kama za kwenu.Si ajabu ukoloni kurudi Afrika kupitia watu kama nyinyi.Acheni kunywa Tusker na Kilimanjaro ili muweze kufikiri kama binadamu wa kawaida.
 
hivi ninyi mnazijua "false flag" operations za wamarekani au mnazisikia?- wamarekani hawachelewi kufanya ishu halafu wakawasingizia kikundi fulani ili baadae malengo yao ya imperialism yatimie- WAKEUP GUYS!
 
Kenyan troops will never be cowed by a grenade attack in Nairobi that left 14 injured.the gsu recce company will be providing security there while kenya army plan to take over kismayo in a major ground battle ever.lets wait and see coz am sure that leader of alshabab wil either be killed or captured.they hv nowhere to run cz we are attacking them from two fronts.we hv sent aproximately 4000 troops to somalia.both entered from diferent fronts while the navy is going to kismayo also fitted with heavy weaponry and with orders to bring down any boat with militias.no escaping this tym round.the air is manned by the KAF with orders to bomb any suspicious flying object.
Jeshi la Kenya ndilo jioga la mwisho.Haliwezi kupigana lenyewe mpaka lipate msaada wa nchi kadhaa litumwe kutoka nje.
Kama kweli ni wapiganaji wasingesubiri kupigana na Alshabaab wakati wa njaa.Wasingepeleka jeshi lote na vifaa vizito vya kivita kupigana na watu ambao silahao yao kubwa ni bunduki ya kombora.
Sababu ya vita ni kuokoa watalii waliotekwa !,si kweli ni kutumwa tu na Marekani kumaliza waislamu duniani.Mbona wakati wa mahakama za kiislamu hakukuwa na utekaji nyara wa meli wala watalii na bado majeshi ya krusedi hayakuweza kuwawacha wakajiamulia wenyewe.
Naomba Allaah awape ushujaa waislamu wa Somalia wakiondoka Kismayu waondoke na roho nyingi za makruseda sawa au zaidi na za kwao zitakazotoka.Hatimae kiongozi yeyote kibaraka watakayemuweka awageuke na kurudi kwa waislamu wenzake na kufanya kazi ya Kenya na wenzake iwe zero.AAMIN
 
Hata hapa Tanzania tuna tatizo hilo, huruma yetu kwa wageni ita tugharimu, hawa jamaa si watu wa kuwaonea huruma maana hawana hata chenbe ya shukrani. Ni wabaguzi hatari na roho zao si za binadamu ndo maana wameshindwa kuwa na serikali for that long. Si wa kucheka nao.
tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
 
Sasa Nairobi bia itakuwa chungu!

Kiota cha maraha cha Wauras kilichotupiwa bomu
610x2.jpg

610x4.jpg

610x1.jpg

x610.jpg
Picha zote kwa hisani ya Getty Images
 
Basi udini ndo huu mkuu AMI: Ni ugonjwa unaomfanya mtu aone baya kuwa ni zuri kisa tu ubaya huo umefanywa na mtu wa Dini yake and viceversa. Ni upungufu wa maarifa unaomfanya mtu aone kuwa anayeamini kama yeye ndiye anafaa kuwa kiongozi tu. Ni ujinga wakudhani kuwa yeye anayo haki ya kuamini yale aliyosimuliwa, iwe kwa kitabu au vinginevyo lakini mwingine hatakiwi kuamini yale aliyosimuliwa tofauti na yake. Wengine mnaweza kusaidia

Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu
 
Naona watakuwa wanawafukuzia Tanzania,kwasababu wakenya huwa wanasema TZ ni pori kubwa.Yani wakimaanisha ina ardhi kubwa isiyotumika,na hao ni wananchi wa kawaida tu walikuwa wakiniambia hivyo.So its something the whole nation of Kenya is aware of.
 
Duh! if this is Al Shabaab then ni hatari, wasiwasi wangu isijekuwa ni mbinu za kiintelijensia za kuhalalisha uvamizi kamili dhidi ya Alshabaab. Ninajua difficult days are coming to Kenya's army, maana sooner or later wataanza kuzushiwa ubakaki, ukiukaji wa haki za binadamu, mauaji ya bila kuchagua. Sasa kama hakuna tukio la kuwekea msisitizo umuhimu wa uvamizi wanaweza kufungasha virago kabla ya mission objectives kuwa reached.
 
hivi ninyi mnazijua "false flag" operations za wamarekani au mnazisikia?- wamarekani hawachelewi kufanya ishu halafu wakawasingizia kikundi fulani ili baadae malengo yao ya imperialism yatimie- WAKEUP GUYS!

Yap!!
Hao freemasons wajanja sana...
1-Jaribu kuvuta picha jinsi walivyodanganya walimwengu kuhusu Iraq (Weapons of Mass Distructions)
2-Geukia suala la WTC/September 11- Destruction of the Trade Centers: Occult Symbolism Indicates Enemies Within Our Own Government
elal_eda2.png
Facts not Fairies
 
Basi udini ndo huu mkuu AMI: Ni ugonjwa unaomfanya mtu aone baya kuwa ni zuri kisa tu ubaya huo umefanywa na mtu wa Dini yake and viceversa. Ni upungufu wa maarifa unaomfanya mtu aone kuwa anayeamini kama yeye ndiye anafaa kuwa kiongozi tu. Ni ujinga wakudhani kuwa yeye anayo haki ya kuamini yale aliyosimuliwa, iwe kwa kitabu au vinginevyo lakini mwingine hatakiwi kuamini yale aliyosimuliwa tofauti na yake. Wengine mnaweza kusaidia

Ukiacha huo unaoitwa udini ambao mimi siuelewe vyema,tuje kwenye ubinadamu
Ngoja nikusaidie maana umesahau:
.Udini ni kuchukia dini nyengine isiyokuwa ukatoliki na ulokole kuongoza eneo lolote duniani kuanzia Iraq,Yemen mpaka Mogadishu.
.Udini ni tabia ya kusema uongo kusingizia waislamu kitu ambacho hawajatenda ili ipatikane sababu ya kuwapiga na kuwaua.
.Udini ni uchoyo wa kutopenda watu wengine watawale nyenzo za kiuchumi za maeneo yao na kulazimisha kuyapora halafu kugawa kidogo kwa wenyeji.
.Udini ni kupeleka jeshi lenye biblia na misalaba kupigana na watu wenye kuvaa vilemba na wanaofuga ndevu hata wakiwa rangi moja na yako.
.Udini ni kitu kibaya kinachoendelezwa kwa faida ya mabeberu na ambacho kitaifanya dunia iingie kwenye machafuko.
 
Ingekuwa vema kama nchi zote zilizo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wangeungana na Kenya kuwasaka haw Al-Shaabab. Pia nahisi beneficiaricies wa hawa pirates wako nje ya Somalia. Kwa hiyo kama ni kupambana Al-Shaabab na pirates East Afican leaders wanatakiwa waangalie links kwenye nchi zao.
Jibu rahisi ni kutowaingilia Wasomali kule kwao. Alijaribu Clinton yakamshinda akachomoa. Bush aliwafadhili Waethopia, walikiona cha moto wakachomoa. Sasa Waganda na Wakenya. Haya sie yetu macho na masikio.
 
Mkuu huwezi kusema kuacha kuwaingilia wakati matatizo yao yanaingia kwenye nchi nyingine na kuleta matatizo..,

Wanachofanya Kenya kinaweza kufanikiwa iwapo wataondoa nguvu ya ya hao Al Shabab hapo Somalia na kuhakikisha wanaweka serikali yenye nguvu ndani ya Somalia (kwa faida ya wasomalia) na kuhakikisha kwamba hivi vita vinapiganwa kuanzia ndani ya Somalia na hio Serikali.., pia hii itaondoa huu mzigo wa wakimbizi ambao kwa sasa dunia nzima inaubeba
 
Back
Top Bottom