Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Ninavyoufahamu ukatili wa askari wa Kenya duh! Hakuna Msomali hata mmoja atakayehurumiwa Baada ya Mashambulizi haya! Na mateso hayo yatawafanya watimkie na kuhamia Tanzania Moja kwa moja!. Nchi ambayo serikali yake imelala, kila anayekuja anajitwaalia uraia na kuanza kuvuna kwenye shamba la Bibi, Pole Tanzania.
 
tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban

Wakitimuliwa watakimbilia Tanzania! Je tutawaweza yahekhe!
 
hicho ndicho walicho kuwa wanakihitaji na bado..
sasa mkuu wa kaya anzisha utaratibu wakupeleka msaada na bidhaa kenya kwani ndio vita ishaanza ivoo..
 
tatizo kenya na hasa nairobi imehost wasomali wengi inabidi iwatimue hawa jamaa si wa kuwakaribisha si unaona SOUTH SUDAN imewapiga ban
tunao wengi sana hata sisi... pita kurasini
 
Ingekuwa vema kama nchi zote zilizo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wangeungana na Kenya kuwasaka hawa Al-Shaabab. Pia nahisi beneficiaricies wa hawa pirates wako nje ya Somalia. Kwa hiyo kama ni kupambana Al-Shaabab na pirates East Afican leaders wanatakiwa waangalie links kwenye nchi zao.
 
bbc imetangaza breaking news kwamba klabu moja ndani ya nairobi imerushiwa bomu la kutupa (hand grenade) na watu kadhaa wamejeruhiwa. Nadhani al shabab wameanza kazi yao.

du ngoma inogile kenya hawana uzoefu na vita
 
Mabomu kama haya Kenya ni kitu cha kawaida kabla hata Kenya haijaingia Somalia.Ajabu ni kuwa hili shambulio limetokea siku ile ile Ubalozi wa Marekani ilipotoa onyo na kusema ina taarifa ya shambulio linalonukia.
Kama Kenya ni watu makini katika kumsaka mhalifu wangeanza kwenye ubalozi wa Marekani.Kama hivyo huwa tunafanya kwenye uchunguzi kesi za uhalifu mitaani.
 
Ninavyoufahamu ukatili wa askari wa Kenya duh! Hakuna Msomali hata mmoja atakayehurumiwa Baada ya Mashambulizi haya! Na mateso hayo yatawafanya watimkie na kuhamia Tanzania Moja kwa moja!. Nchi ambayo serikali yake imelala, kila anayekuja anajitwaalia uraia na kuanza kuvuna kwenye shamba la Bibi, Pole Tanzania.

Natumai Idara ya Uhamiaji na mlinzi wa shamba la bibi atakuwa macho zaidi kuhakikisha hayo hayatokei.
 
Ami, udini utakumaliza yakhee!....unajizungusha kwa maneno hapo juu kumbe unalako kichwani.
Hivi wewe unaona raha gani kuona hawa Al-shabaab wakiua kila siku? tena wanaowaua ni waislaam wenzao!.
Unaacha kuwasema wauwaji,badala yake unawasema ubalozi wa marekani...sic!
 
hahaha.. I dont think thats the work of Alshabaab, if they have gone to the desperate extent of bombing dingy bars with 10 patrons, then I think the war is over.
 
BBC imetangaza breaking News kwamba klabu moja ndani ya Nairobi imerushiwa bomu la kutupa (Hand grenade) na watu kadhaa wamejeruhiwa. Nadhani Al Shabab wameanza kazi yao.
logo_reuters_media_us.gif

Print | Close this window
[h=1]UPDATE 3-Grenade attack at Nairobi bar wounds 12 - police[/h]Mon Oct 24, 2011 4:16am GMT
* Attack comes week into Kenya's operation against Somalia rebels
* U.S. Embassy warned last week of "imminent threat" in Nairobi (Adds details, background)
By Yara Bayoumy and Njuwa Maina
NAIROBI, Oct 24 (Reuters) - A grenade attack on a bar in the centre of Nairobi early on Monday wounded 12 people, Kenyan police said, an incident that comes as Nairobi battles al Qaeda-linked militants in neighbouring Somalia.
Capital news radio quoted a witness who said a man had asked to be let in to the bar shortly after 3 a.m. (0000 GMT), when he hurled a grenade and fled the scene.
"It was a grenade attack. There are no deaths," central Nairobi police chief Eric Mugambi told Reuters, adding that of the 12, two had serious wounds in the leg and the face.
The blast came two days after the U.S. embassy in Kenya warned of an 'imminent threat' of a terrorist attack in Nairobi after the east African country launched a military campaign against Islamist al Shabaab rebels in southern Somalia.
Nairobi blames the militants for a wave of kidnappings of foreigners on Kenyan soil that have threatened the country's multi-million dollar tourism industry.
Al Shabaab had threatened major reprisals if Kenyan troops did not withdraw and the militants have launched large-scale suicide bombings in the past.
No one has claimed responsibility for the incident.
Reuters footage showed blood and beer bottles splattered on the ground of Mwaura's bar, which is frequented by blue-collar labourers attracted by its cheap beer and spirits.
Blood stained a sink and overturned seats and debris littered the floor. Police cordoned off the area as an officer examined damage on the walls from the force of the explosion.
"The guys came out running covered in blood. We helped them wash the blood off and they were carried away by ambulances," Jacob Musembi, a vendor at the scene, told Reuters.
"I'm very scared for my life because I don't know who they'll target next," he said.
A doctor at Kenyatta National Hospital said he had treated 13 people, some with serious wounds, but mostly with light head injuries.
MILITANTS LAUNCH LARGE-SCALE ATTACKS
Al Shabaab have denied responsibility for the Kenyan kidnappings, saying Nairobi was using them as a pretext for its military campaign.
Kenya has in the past initiated brief cross-border incursions, but the latest operation is on a much larger scale raising fears the country could be dragged into the anarchic Horn of Africa's two-decade-civil war.
The Islamist militants have proven capable of launching large-scale suicide attacks within Somalia and outside and have warned they would bring the "flames of war" into Kenya.
Earlier this month, a suicide truck bombing claimed by the militants killed more than 70 people when it exploded outside a compound housing government ministries in Somalia's capital Mogadishu.
The militants have also claimed responsibility for a bomb attack in the Ugandan capital, Kampala, which killed 79 people last year.
That strike, the militants' first on foreign soil, was in revenge for Uganda's contribution to the 9,000-strong AU peacekeeping force which is supporting Somalia's Western-backed government troops in ousting the rebels out of Mogadishu.
Nairobi is home to a large Somali community and last week security forces arrested two doctors for being members of al Shabaab. The militants also said three of their clerics had been arrested in Kenya, one of whom is on a U.N. sanctions list for recruiting new members and soliciting funds for the rebels.
Al Qaeda struck east Africa in 1998, killing hundreds of people, mostly Africans, in suicide bombing of U.S. embassies in Kenya and Tanzania. (Additional reporting by Noor Khamis; Writing by Yara Bayoumy; Editing by Matthew Jones)
UPDATE 3-Grenade attack at Nairobi bar wounds 12 - police | News by Country | Reuters
 
Hawa watakuwa ni al shabaaab,watasumbua kwa muda mchache tu kuanzia sasa-ila mwisho wao unakaribia
 
Ninavyoufahamu ukatili wa askari wa Kenya duh! Hakuna Msomali hata mmoja atakayehurumiwa Baada ya Mashambulizi haya! Na mateso hayo yatawafanya watimkie na kuhamia Tanzania Moja kwa moja!. Nchi ambayo serikali yake imelala, kila anayekuja anajitwaalia uraia na kuanza kuvuna kwenye shamba la Bibi, Pole Tanzania.
tatizo ni kubwa zaidi ya mnavyodhani,kuna mkoa mzima Kenya ambao wakazi wana asili ya kisomali na pia wameshiriki kikamilifu kwenye nyanja zote serikalini/sekta binafsi mfano mdogo tu waziri wa ulinzi ni msomali,naibu spika msomali, aliyefanikisha katiba mpya msomali,na kwa miaka mingi mkuu wa majeshi na polisi walikuwa wasomali.Ni ngumu ku-deal na wasomali wa Somalia bila kugusa wasomali raia.
Mabomu kama haya Kenya ni kitu cha kawaida kabla hata Kenya haijaingia Somalia.Ajabu ni kuwa hili shambulio limetokea siku ile ile Ubalozi wa Marekani ilipotoa onyo na kusema ina taarifa ya shambulio linalonukia.Kama Kenya ni watu makini katika kumsaka mhalifu wangeanza kwenye ubalozi wa Marekani.Kama hivyo huwa tunafanya kwenye uchunguzi kesi za uhalifu mitaani.
Kwahiyo balozi asaidie polisi lol!
 
Natumai Idara ya Uhamiaji na mlinzi wa shamba la bibi atakuwa macho zaidi kuhakikisha hayo hayatokei.

Tanzania inalindwa na MUNGU PEKEE hakuna cha uhamiaji wala walinzi wa shamba la bibi kila mmoja yuko kimaslahiyake binafsi.
 
BBC imetangaza breaking News kwamba klabu moja ndani ya Nairobi imerushiwa bomu la kutupa (Hand grenade) na watu kadhaa wamejeruhiwa. Nadhani Al Shabab wameanza kazi yao.

Hii ni salamu ya asubui kuwa wapo na wanauwezo wa chochote kile
 
Hatuwezi kuogopa vita but at the same time tukakubali kudhalilishwa na kuufyata kwa materrorists. We shall fight kulinda heshime yetu na ya mipaka yetu mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom