Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuw ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"
Foxy hili la Marekani kutaka waafrika wauwane kwa kuchochea vita linatia shaka. Ukweli sisi wenyewe tunauwana kila kukicha kwa ufisadi ambao unakosesha mamilioni lishe bora,huduma za afya,elimu etc
Hii operation hailingani na tishio la Alqaeda.Ni vita yenye undani ambao wajinga tu ndio watakaounga mkono kwa sababu yoyote watakayotoa.
Karibuni tu Alshabab walijiondoa Mogadishu na jeshi la AU kila siku linatangaza mafanikio dhidi yao.
Kuanzia sasa eneo lote la Afrika Mashariki na kati litakuwa halina amani tena.Tutaishi kwa wasi wasi kwani kila siku yatatengenezwa matukio kuonesha Alshabab wako miongoni mwetu eti wanalipa kisasi.Waislamu wote ndio waathirika wa mwanzo.
Eeh! Allah shuhudia kwamba sisi ni wanyonge na tuokoe na fitna hizi.Tuko upande wako na tutajitenga na wale watakaokuwa upande wa Amerika-AAMIN
Hapo Mama FaizaFoxy naona unaongea kama vile wewe ni mzungu au mchina. Nawasilisha!Si ndio, hata UKIMWI mliambiwa nyani zenu ndio wanao na mliambukizwa kwa kula nyani mkakubali? sikushangai.
kwa hiyo kwako waliyofanyiwa Kenya ni sawa? Kila mujahideen wakishambuliwa ni marekani?Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuwa ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburuzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka Waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"
Tayari US wamefanikiwa katika mkakati wao.
Unakumbuka waliingia Somalia na kuanzisha (humanitarian intervention) ambayo baadae wakajiondoa. Sasa wamerudi kwa drone strikes. wameweka base Djibout na sychelles.
Unakumbuka US waliripua balozi zao hapa Tz na Kenya? na kuleta "washauri" wa kijeshi na wachunguzi wa ugaidi?
Sasa ni Rasmi Obama anapeleka Askari aka washauri wa kumsaka Konye.
Kwa tamko hili la Kenya ni wazi wanafungua mlango wa kukaribisha na kusambaza vita, ugaidi.
Katika siku zijazo TZ itafikiwa na hali hii ya kuingizwa katika mapambano. Al shabab tayari wanalaumiwa kuingia Uganda, Kenya bado TZ.
US wanajua kucheza karata zao vizuri....rasilimali zetu, ndio laana yetu.
Wakuu.
Mwanzoni nilichangia hayo ya juu.
Leo baada ya kupitia uzi huu, (mada hii) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hujumu-mradi-wa-bomba-la-gas-la-serikali.html nimekutana na hiki kipande.
The $1 billion loan that has also shocked Washington, with US government seeing an expanding Beijing influence to the old friend, Dar es Salaam, was given at the 2 percent interest rate per annum.
The Guardian on Sunday has also learnt that following the $1 billion loan from China, the US government is also working behind the closed doors to maintain its influence in Tanzania, which it sees as a strategic partner in East Africa.
Ambacho kwa kweli, kinaweza kufafanua kwa nini US sasa ameanza kutoa "washauri" wa kumsaka Kony. Pia kwa nini Kenya wamejiunga kuishughulikia Al shabaab na kwa nini US wameanza drone strikes Somalia.
Nilisema sehemu kuna siku na sisi tutaingizwa katika vita "vya kupambana na ugaidi" ili kuipiga stop China.
Kwa wenye kuifuatilia "tabia ya " US huwa hawakosi sababu za kuingia katika chi wanazoziziona ni nyeti kwa rasilimali.
Tukae mkao wa kuliwa.
Sasa ukitaka kujua wachina ndio wanatufanya malofa jiulize: Where is China in this puzzle?