Wakuu.
Mwanzoni nilichangia hayo ya juu.
Leo baada ya kupitia uzi huu, (mada hii)
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hujumu-mradi-wa-bomba-la-gas-la-serikali.html nimekutana na hiki kipande.
The $1 billion loan that has also shocked Washington, with US government seeing an expanding Beijing influence to the old friend, Dar es Salaam, was given at the 2 percent interest rate per annum.
The Guardian on Sunday has also learnt that following the $1 billion loan from China, the US government is also working behind the closed doors to maintain its influence in Tanzania, which it sees as a strategic partner in East Africa.
Ambacho kwa kweli, kinaweza kufafanua kwa nini US sasa ameanza kutoa "washauri" wa kumsaka Kony. Pia kwa nini Kenya wamejiunga kuishughulikia Al shabaab na kwa nini US wameanza drone strikes Somalia.
Nilisema sehemu kuna siku na sisi tutaingizwa katika vita "vya kupambana na ugaidi" ili kuipiga stop China.
Kwa wenye kuifuatilia "tabia ya " US huwa hawakosi sababu za kuingia katika chi wanazoziziona ni nyeti kwa rasilimali.
Tukae mkao wa kuliwa.