Kenya declares war on Al Shabaab!

Wa-Kenya wafananisha uzalendo wao wakati huu wa Operesheni Linda Nchi dhini ya Al Shabaab kuwa sawa na uzalendo wa nchi za Ulaya zilizopoteza vijana wake wengi ktk Vita Kuu za Kwanza na Pili za Dunia (WW I and WW II)

 
Last edited by a moderator:
Wa-Kenya wafananisha uzalendo wao wakati huu wa Operesheni Linda Nchi dhini ya Al Shabaab kuwa sawa na uzalendo wa nchi za Ulaya zilizopoteza vijana wake wengi ktk Vita Kuu za Kwanza na Pili za Dunia (WW I and WW II)
Sidhani kama matukio haya mawili yanalingana. Cha maana inabidi kwanza wakenya watatue tatizo la ukabila ambalo limekubuhu na kuathiri umoja wa wananchi. Hao askari waliokufa kwenye vita vya pili vya dunia walikuwa wanalinda maslahi ya wakoloni na uzalendo wao ulielekezwa kwa dola na himaya ya Malkia na sio kwa nchi ya Kenya. Kwa mantiki hii huyo mtangazaji amechemsha!
 
| 14.11.2011 | 16:00 UTC
Kenya yaomba msaada wa Israel kukabiliana na al Shabaab

Waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga anaomba msaada wa Israel katika kuzuia mashambulio ya kundi la al Shabaab lenye mafungamano na kundi la kigaidi la al Qaeda. Katika taarifa ya serikali iliyotolewa leo Odinga amesema amemuomba rais wa Israel, Shimon Peres,msaada katika kujenga uwezo wa polisi ya Kenya katika kukabiliana na mashambulio ya wanamgambo wa al Shabaab. Vikosi vya Israel ni miongoni mwa vikosi bora kabisa ulimwenguni katika kukabiliana na vitisho vya kigaidi, lakini al Shabaab huenda wakaliona ombi la Kenya kama uchokozi.

Kenya ilituma mamia ya wanajeshi wake kusini mwa Somalia kuwasaka wapiganaji wa al Shabaab, inayowashutumu kwa kufanya mashambulio na utekaji nyara katika ardhi yake. Kwa kujibu hatua hiyo, kundi hilo limeapa kufanya mashambulio ya kigaidi mjini Nairobi.

DW-World.De
 
LOADED DONKEYS AND TWEETING MAJOR ALL SEEMS TO BE WELL ON THE WAR FRONT - by MACHARIA GAITHO Nov 14, 2011 @ 20:00 hrs Nairobi


It seems 'it is a WIN WIN situation to both sides ( KDF vs Al Shabaab ) so far'.
 
Naona PM wa kenya yuko Israel moja ya issue ni kuomba msaada wa namna ya kukabiliana na Al Shababy
My take:Naona sasa Kenya atakabiliana na maadui wengi kwa kuwatumia Israel ingawa Msaada toka uko ni dalili za kuwashinda hawa watu!
Source:TBC 20hrs news
 
Hapana. Kenya hawajaomba msaada kwa Israel ila Israel imewaambia Kenya iendeleze mapambano wao waisrael watawapa suport yeyote ikiwa ni hatua ya kuwa'encourage Kenya.
 
al shabaab watatumika kuing'oa ile nazi madarakani,kwa mtindo huu si watakua wanatuuzia silaha?
 
Ndiba unajua kiusalama Israel hawezi admit directly kwa sababu za kiusalama!
Ufalansa yeye aliamua kutuma ndege!
Uyu PM anajua wababe wa waarabu ni Israel
 

Nawaonea huruma wakenya, wameingia vitani bila kupima uzito wa adui yake. SASA WANAKIMBIA HUKU NA HUKO KUOMBA MISAADA. Unajitangaza uanaume wakati nguvu zenyewe huna. Kwa mara nyingine nchi niliyotegemea iachane na omba omba inakwenda kupiga magoti tena kwa wageni. Leo wapo Israel, kesho watakwenda kwa baba zao waingereza, kesho kutwa kwa babu zao Wamarekani.

Afrika haitajifunza hata siku moja, ni juzi tu bill ya NATO kwa Libya ni $480 bilioni, haya tusubiri bili ya waisrael, waingereza na wamarekani kwa nchi ambayo inakabiliwa na njaa 'Kenya' baada ya miezi sita.

Wajinga ndio waliwao!
 
Massive explosion sparks exodus from Somali town
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: left"]Al-Shabaab insurgents claim blast caused by missile strike on one of their bases in Afgoye

Residents carry their belongings as they flee from their homes in the Afgoye region of Somalia after a massive blast on Sunday. Photograph: Feisal Omar/Reuters
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Clar Ni Chonghaile in Nairobi
Monday, November 14, 2011

Scores of people have fled the Somali town of Afgoye after a massive explosion which al-Shabaab insurgents said was caused by a missile strike on one of their bases.

Military officials said they were trying to find out what caused the blast on Sunday night. Al-Shabaab, which is linked to al-Qaida and controls large sections of central and south Somalia, is fighting African Union peacekeepers, Somali government forces and Kenyan troops, while foreign warships are also active offshore, battling pirate gangs.

At least two regional news agencies reported that senior al-Shabaab commanders had been killed in the explosion, although it was not immediately possible to confirm this. Some residents of Afgoye said there had been a flurry of insurgent activity in the area on Sunday amid rumours that rebel commanders were meeting.

"I am sure there was a meeting going on in the base near the orphanage. Armoured cars and expensive 4x4s were buzzing around," Afgoye resident Osman Odowa told Reuters.

"One of the missiles struck right around there," Odowa said.

Mogadishu-based media company Suna Times said on its website that al-Shabaab leaders were killed in what it described as an air strike by a US drone on Afgoye.
A US source said the United States was not involved.

A senior al-Shabaab official said two missiles were launched from warships offshore.

"Enemy warships in the Indian Ocean fired two missiles at us," the official told Reuters. There were no casualties, he said. It was not possible to verify his account.

The Kenyan army, which has deployed thousands of troops inside Somalia, said it did not attack Afgoye, 12 miles (19km) from the capital Mogadishu.

"Yes, there was an explosion but it was not carried out by Kenyans," said spokesman Major Emmanuel Chirchir. He did not have information on any casualties. Kenya blames Islamist al-Shabaab rebels for a series of kidnappings and cross-border raids that threaten to damage east Africa's largest economy. Al-Shabaab has denied involvement in the kidnappings but has threatened to attack Kenya in retaliation for the incursion.

Two weeks ago Kenya warned it would launch air strikes on 10 Somali towns where al-Shabaab has bases, including Afgoye. Lieutenant Colonel Paddy Ankunda, a spokesman for the 9,000-strong African Union (Amisom) peacekeeping mission in Mogadishu, said he was seeking confirmation of what had happened in Afgoye.

"We don't know if it was a premature blast inside the al-Shabaab or an air strike. We are still trying to gather information."

Amisom troops support Somalia's transitional federal government, which is backed by the international community but has failed to extend its reach beyond the capital.

One of the scores of people fleeing Afgoye on Monday was mother-of-five Samira Farah, who was heading to Mogadishu. She said there was a column of minibuses laden with mattresses behind her.

"Who dares to stay in a place which is a target of planes and warships?" she said.

Some people in the area between Afgoye and Mogadishu said they had seen a bright light streaking through the sky before the explosion on Sunday night.

Source: Guardian
 
Huo utakuwa ndio mwanzo wa mwisho maana vita itarudi huko huko kwa wenyewe. Iran v.s Israel
 
Vita Si Lelemama Wawaache Wasomalia Wapiganie Nchi Yao al-shaaba ndio Peoples Power kama Hamjui wanapata support kubwa sna ndani ya somalia ila kuna mambo fulan fulan ndio wamekosea na pia nchi yenyewe ina njaa so hawathaminiwi na watu wa nje.

Kenya Mnali hilo mmelivaa Vita ya kupigana na watu wasiovaa Combat ni ngumu so wameona Obama kateseka na hali yake mbaya kasababisha hadi Peoples Power imeshaanza kujitokeza New York Hawaii na inaendelea States zinataka kujitenga au madai yao yatimizwe..
Bado kwetu Lowassa Keshaona Kikwete kafumba Macho na masikio kaziba Tutamhukumu Hata Gadaffi alijidai mwisho wakamsodoma.

Israel hawezi kujiingiza Somalia ndio kamuambia Odinga atamsapoti kwa kumpa mbinu za kulinda mipaka..

Israel yenyewe ipo roho juu juu sababu ya Iran na yupo Mbioni kumlipua ili apumue Huyu Amhadinejad Asili yake ni Myahudi lakini anawanyima Usingizi wayahudi wenzake
 
Ni Aibu kwa Israel Kupigana na Somalia... Sijui atatumia masaa mangapi sababu Israel ina mitambo ya kisasa Kujua Mlipuko wa aina yeyote unapotokea kwa umbali mrefu na kutuma kombora pale pale ulipotokea mlipuko. labda al- shaaba watumie mbinu za waarab kurusha rocket ndani ya nyumba za raia na familia zao kwa kuwalazimisha ili wakiuawa wasingizie israel wanaua Raia
 
Ile ndugu yetu ya Kenya imeingia ile choo ambayo natumia akina dada/mama?
Tuiambie kuwa hiyo hamna shida, endelea tu mpaka namtoa alshabaabu Nairobi...ehee mie ile niliiambia ikasema yeye iko nguvu kubwa ya jeshi.
Basi iambie Ochieng nampiga tu Al shabaab, kama talegea Al shabaab atanyakua ile bibi zetu zote.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Utawala wa Kizayuni kuisaidia Kenya katika mashambulizi yake Somalia[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Viongozi wa Kenya wamesema kuwa, utawala wa Kizayuni umekubali kuisaidia nchi hiyo katika kampeni zake za kijeshi za kukabiliana na wanamgambo wa ash Shabab nchini Somalia.
Hayo yamekuja baada ya Raila Odinga, Waziri Mkuu wa Kenya kutembelea Tel Aviv na kuwaomba viongozi wa utawala wa Kizayuni waisaidie nchi yake katika kampeni hizo.
Wakati huo huo wanamgambo wa ash Shabab wamesema kuwa, wapiganaji wake wamefanikiwa kuua wanajeshi 27 wa Kenya na kuteketeza gari la kijeshi la nchi hiyo lililokuwa na silaha.
Kenya iliivamia kijeshi Somalia mwezi uliopita kwa ajili ya kupambana na wanamgambo wa ash Shabab na kusisitiza kuwa itaendelea na mashambulizi yake hayo hadi itakapohakikisha kuwa, mipaka ya Kenya iko salama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Ninyi watanzania munajoto hata kuliko jua ya ziwa magadi nchini Kenya. Wengi wenu mnao zungumza hamna hata experience ya vita wala hamjaona wala hata kuwa katike vita. tuanze na facts hakuna jinsi vita inashindwa na fedha bali ni tacts. serikali ya mpito ya somalia imeshindwa na walishindwa na kero la alsahaabab na ICU tangu 1993. wale waamerika ambao watanzania mnaoabudu pamoja na mandugu zao kutoka canada na kutoka ethiopia walishindwa kuwa himidi wanamgambo hawa, basi ebu tukome kupiga domo na muone au mujifunze jinsi ambavyo alsabaab wananyamazishwa kwa msimu huu wa 'OLN'

You and your UG war-warmongering brothers jueni kwamba Kenya haiombi msaada wa wanajeshi waje bali ni support ya international community kutoka Isreal na maitaifa ya jumuia ya mataifa UN ilitusije tukalaumiwe baadaye. Military cooperation ni kitu cha kawaida sababu its for the long term benefit. Kwenye vita vya dunia ya pili kulikuwa na cooperation ambayo iliitwa NATO kundi hili linaendelea kuexist na iliwajibika kumwondoa Hitler na makafara wake barani Uropa all because of military cooperation. Lakini kwa sababu watu hawakuwi objective katika hizi forums ndiposa naona this is just a waste of time. mambo ya kulinganisha KDF UPDF na wengine ni bure. referencing CIA world factbooks on military statistics si kitu chema because countries huwa na military budgets kila mwaka CIA factbooks do not have updated websites on africa military budgets. Ikiwa unataka real-time figure on kenyan military budgets and acquisations, tazama mtandao huu

http://www.armyrecognition.com/kenya_kenyan_army_land_ground_forces_uk/kenya_kenyan_army_land_ground_armed_defense_forces_military_equipment_armored_vehicles_intelligence_.html

Ni kitu cha kawaida kuwa na military cooperation kama vile tanzania wanavyopewa msaada na Ujerumani katika mambo mengi kama kuchimba mabwawa ya maji na hata ujenzi wa kiliniki za afya hapa na pale. Tena kumbuka ni Kitu ambacho ni cha kawaida jeshi la tanzania hukopa vyombo vya kivita za second hand kama mashua, magari, na hata sare za jeshi na AK47's kutoka ugerumani. There is much hype of kenya being "untested" sawa hatujakata lakini watanzania kitu ningewasihi musitamani vita hata hata siku moja na nchi yeyote. Hivi karibuni, jeshi la tanzania watatumika na US kuwaondoa wale LRA kutoka congo ambao wanasumbua Uganda usiku na mchana maana wale sio jihadist hawajilipui ovyo ovyo kwa hivyo hiyo itakuwa rahisi kwenu. Hivyo basi hakuna amani ila kwa upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…