Napata shida kiasi nionapo kuwa miongoni mwa viongozi wao ni masheikh!Hawa wasomali wameshaharibu nchi yao sasa wanataka kuvuka mipaka. Dawa yao ni kutandikwa mpaka wapate akili. Ni watu wenye majivuno saana wakati linchi lao wamelibomoa hadi limebakia magofu. Sijui wanapata wapi ma-confidence yao yasiyo na mpango!
Mi nimeuliza tu. Namna yako ya kuchangia inaonesha unafurahia.Mwali, kivipi?
Wakenya waliwa alika wenyewe magaidi wa kisomali, wakawa wana "invest" - kwa mfano kama eastleigh, ngara road etc - wakahalalisha miraa (mirungi). Sasa wanataka kuwaingiza nchi zingine thru EAC DEFENCE PACT ili wawasaidie kurekebisha makosa yao !
Mi nimeuliza tu. Namna yako ya kuchangia inaonesha unafurahia.
Umesema kweli kaka! hawa majirani wamezoea midahalo, ila bahati mbaya wanachanganya midahalo na mambo yanayohitaji vitendo zaidi kuliko mdomo. Kama nilivyosema mwanzoni mwa hii thread, nawaunga mkono kenya kuwashughulikia Al shabab lakini siungi mkono njia waliyotumia. Huwezi kutangaza vita na al shabab kwa kuonesha vifaa ulivyovinunua na magwanda ya wanajeshi wako. Al shabab sio jeshi rasmi wala sio mamlaka halali. Al shabab ni kikundi cha kigaidi tu. Marekani haijashinda Al qaeda kwa kupiga mabomu huko Afghanistan ila imeonesha kufanikiwa kwa kudhibiti fedha za al qaeda, kuimarisha ushushushu mpaka kufikia kiwango cha kuwauwa Osama, Awlaki na wengineo. Pia US ilijiandaa kupigana vita virefu sana tofauti na majirani zetu ambao walidhani wataisambaratisha Al shabab haraka kama Ethiopia ilivyowafanyia mahakama za kiislam. Baada ya kukoroga mambo sarakasi zimeanza, walisema mvua, wakasema wanagawa misaada na sasa wanasema kuna mabishano kati ya wanaotaka serikali za majimbo na wanaotaka serkali moja kuu ya somalia kwa hiyo hawajui wafanye nini. Kichinichini walitaka kurusha mzigo kwa EAC baada ya kukwama wanataka kurushia Amisom lakini wanasahau kuwa wakati wa kuunda Amisom ilikubaliwa kuwa majeshi hayatakiwi kutokea kwa nchi zinazopakana na Somalia.Kama umewashtukia hata humu jamvini nako wamekimbia. Wakitokea huwaga wanakuja kuporomosha matusi tu na kujifanya wanajua kuongea kizungu, hoja zimewaishia!
..."Then there is the story of Kenya as a weak nation. Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi and Uganda's President Yoweri Museveni, according to leaked US diplomatic cables published on WikiLeaks, reportedly expressed that dim view of Kenya's military.
The same notion seems to have informed Sudan's President Omar al-Bashir's reported "two week ultimatum" to Kenya to reverse a High Court order enforcing an ICC arrest warrant against him should he set foot on Kenya.
It is inconceivable that Bashir would make that request of Museveni or Rwanda's President Paul Kagame. In fact, even if all the world's leaders combined and gave such an ultimatum to stubborn African presidents like Kagame, Meles, or Museveni, they would still scoff at them all...."
Msibadilishe kiswahili! mwanzoni mlisema mmetangaza vita na al shabab kwa sababu wanawateka wazungu ktk ardhi yenu, sasa mnaanza kusema mnasaidia tu TFG! kwanini hamkuingia kuisaidia TFG tangu mwanzo? Kubalini tu kuwa mmeingia Somalia kama kasuku bila mipango kwasababu vita hamuijui!Hiyo sio kweli kwa maana Kenya haijaitisha usaidizi kwa njia ya EAC defense pact. Ni Amisom wanataka wawe ndio ma commander wakuu wa vita vinavyoendelea nchini somalia. Kenya ina isaidia TFG (wapiganaji wa serikali ya mpito ya somalia). Maswala ya EAC defense pact is not a Kenyan affair only. They are recommendations from Council of ministers of EAC, being Led by president/chairman Nkurunzinza who has just given up his seat for Kibaki. Musa sirma is the head of the council of ministers.
This Amisom inashirikisha mataifa kama Burundi, Rwanda, na Djibouti, waki ongozwa na Uganda kama commander wao na UN kama wafadhili wao.
Mhn! wakenya wana kazi, maana naona vijana wao badala ya kuzingatia mazoezi, pichani wanaonekana macho yote yalielekezwa kwenye kamera ya mpiga picha.Wakenya wachachamaa baada ya mvua kuisha huko kusini mwa Somalia.
Haya, sasa hakuna kisingizio tena. Kazi kwenu!
View attachment 43282
Kenyan forces pledge further push into Somalia
By KATHARINE HOURELD, Associated Press
RAS KAMBONI, Somalia (AP) - Kenyan troops and their Somali allies said Tuesday they will push deeper into insurgent-controlled territory in Somalia now that rains have stopped, as the U.N. called for $1.5 billion in aid for those hit by famine in the Horn of Africa nation.
Mohamed Ibrahim Farah, a spokesman for a Kenyan-allied Somali militia at Somalia's southern tip, said troops would move soon, by the end of the year.
"We are going forward within this week," he said as he addressed foreign journalists in a ramshackle hut of twigs and corrugated iron that served as the militia headquarters. "There was a lot of problems with the rain. There's a lot of places with the water there is no place to cross."
More...
-Associated Press
Msibadilishe kiswahili! mwanzoni mlisema mmetangaza vita na al shabab kwa sababu wanawateka wazungu ktk ardhi yenu, sasa mnaanza kusema mnasaidia tu TFG! kwanini hamkuingia kuisaidia TFG tangu mwanzo? Kubalini tu kuwa mmeingia Somalia kama kasuku bila mipango kwasababu vita hamuijui!
Mr Mzalendo najua kuwa kenya iliingia vitani ikijua inaenda kupigana na al shabab lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kenya haijui vizuri vita. Nakubali kuwa kwa mzalendo yeyote wa nchi yake, sentensi niliyoisema ni mbaya sana kwa mkenya yeyote mwenye uzalendo na kenya. Bila kujisifu nikujibu kuwa ndiyo sie tunajua vita tena tunaijua vita kuliko mnavyotufikiria. Kinachonipa dhana kuwa kenya haijui vita ni mambo yafuatayo: Kwanza approach iliyochukuliwa na kenya jinsi ya kukabiliana na al shabab, kutangaza vita na al shabab huku kenya ikionesha vifaa vya kivita kama vile iko kwenye maonesho ya biashara kabla hata vita haijaanza ilikuwa kosa kubwa. Pili kenya imeshindwa kuwaandaa wakenya kisaikolojia kwa ajili ya vita ndo maana ktk wakati kama huu bado wakenya(madaktari) wamethubutu kugoma kushinikiza nyongeza ya maslahi huku wakijua kuwa nchi iko vitani. Tatu kenya imeshindwa kabisa kuzingatia propaganda ktk vita kwa kuamua kuomba msaada Israel bila kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza ktk uwanja wa vita huko somalia. Nne kenya imeonesha wazi kukosa umakini wa vita baada ya sasa kuomba vikosi vyake viwe chini ya AMISOM wakati walitakiwa wafanye hivyo kabla hata hawajaingia Somalia. Kuhusu Brazil siwezi kuongea chochote maana sijajua uwezo wake katika nyanja mbalimbali, lakini kuhusu Zambia na Lesotho huwezi kutulinganisha sie na Zambia na Lesotho, utakuwa aidha hutujui vizuri au umedhamiria kututukana. Mwisho natambua kuwa kenya ni nchi huru na ndo maana mmeamua kuingia somalia bila hata kuomba ushauri ila sasa malizeni kazi mliyoianzisha na sio kutafuta AMISOM kama upenyo wa kutokea.Wacha nikupe wazo. Kenya ili inigia vitani ikijua inaenda kupigana na alshabaab. Kusema kuwa kenya haijui vita is a bald statement ambayo haina msingi. Nyinyi ndio mwajua vita eti! Haya, ni nini haswa inakupa dhana kuwa Kenya haijui vita? Naweza kukupa wazo utafakari. Nchi kama Brazil au Zambia au Lesotho ambazo hazina historia ya vita, itakuwa vigumu kama unaona nchi yenu inaelewa vita kuwa twanga. Mimi kusema Kenya inasaidiana TFG. Kenya ni nchi huru wala haiambiwi lolote na mtu
This is the most interesting part....where are the chest thumping Nyayo patriots:shock:
Have you copied this thinking from US aggression in Iraq, Afghanistan?haha, dont you just amaze me brother. I understand we hail from different intellect levels buh before u swim in glory get this clear...i stand by Kenya no matter tha cause and any kenyan would esp thz military adventure.
Actually Kenya z a devlping economy like u, #case point. Y blow alshabaab a quick mortal blow wen u can earn from the same threat? Here z where i applaud our conniving technocrats, look at how they are arm twisting the UN despite the so many rules of engagement between neighbouring countries esp when contributing to UN troops to an immediate neighbour (of course u know this, research some more if you dont). Kenya has seen a loop hole to finance the whole military expedtion, first the UN chief pays us a visit then emphasizez tha use of air assets in somalia n actually brings it to the security council, which other military is offering dat in somalia? Again u complaining about hardware display, really? Wats on the public domain to really cause sleepless naits to yew. Wats out thea z just a fraction, more potent stuff such as MBT's are in store for a worthy opponent hence with that preclude the success rate of the KDF with tha lean equipment. I love the strategy used by KDF, say am proud of tha arms corps, 'YOU SEE A WAR, KENYA SEES AN OPPORTUNITY'
Mr Mzalendo najua kuwa kenya iliingia vitani ikijua inaenda kupigana na al shabab lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kenya haijui vizuri vita. Nakubali kuwa kwa mzalendo yeyote wa nchi yake, sentensi niliyoisema ni mbaya sana kwa mkenya yeyote mwenye uzalendo na kenya. Bila kujisifu nikujibu kuwa ndiyo sie tunajua vita tena tunaijua vita kuliko mnavyotufikiria. Kinachonipa dhana kuwa kenya haijui vita ni mambo yafuatayo: Kwanza approach iliyochukuliwa na kenya jinsi ya kukabiliana na al shabab, kutangaza vita na al shabab huku kenya ikionesha vifaa vya kivita kama vile iko kwenye maonesho ya biashara kabla hata vita haijaanza ilikuwa kosa kubwa. Pili kenya imeshindwa kuwaandaa wakenya kisaikolojia kwa ajili ya vita ndo maana ktk wakati kama huu bado wakenya(madaktari) wamethubutu kugoma kushinikiza nyongeza ya maslahi huku wakijua kuwa nchi iko vitani. Tatu kenya imeshindwa kabisa kuzingatia propaganda ktk vita kwa kuamua kuomba msaada Israel bila kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza ktk uwanja wa vita huko somalia. Nne kenya imeonesha wazi kukosa umakini wa vita baada ya sasa kuomba vikosi vyake viwe chini ya AMISOM wakati walitakiwa wafanye hivyo kabla hata hawajaingia Somalia. Kuhusu Brazil siwezi kuongea chochote maana sijajua uwezo wake katika nyanja mbalimbali, lakini kuhusu Zambia na Lesotho huwezi kutulinganisha sie na Zambia na Lesotho, utakuwa aidha hutujui vizuri au umedhamiria kututukana. Mwisho natambua kuwa kenya ni nchi huru na ndo maana mmeamua kuingia somalia bila hata kuomba ushauri ila sasa malizeni kazi mliyoianzisha na sio kutafuta AMISOM kama upenyo wa kutokea.
Tuko pamoja, lakini wakenya lazima mkubali kukosolewa, manaake mmechemsha big time. Hizo picha zote za hao maaskari wa kikenya ni kama vile wanakula pozi kinamna flani hivi. Yaani wanaleta usharobaro/ubitozi hata kwenye uwanja wa mapambano?...we shall prevail, hata kama "internet warriors" wengine hapa wangependa kuona tukishindwa na maharamia wa kisomali!
Mr Mzalendo najua kuwa kenya iliingia vitani ikijua inaenda kupigana na al shabab lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kenya haijui vizuri vita. Nakubali kuwa kwa mzalendo yeyote wa nchi yake, sentensi niliyoisema ni mbaya sana kwa mkenya yeyote mwenye uzalendo na kenya. Bila kujisifu nikujibu kuwa ndiyo sie tunajua vita tena tunaijua vita kuliko mnavyotufikiria. Kinachonipa dhana kuwa kenya haijui vita ni mambo yafuatayo: Kwanza approach iliyochukuliwa na kenya jinsi ya kukabiliana na al shabab, kutangaza vita na al shabab huku kenya ikionesha vifaa vya kivita kama vile iko kwenye maonesho ya biashara kabla hata vita haijaanza ilikuwa kosa kubwa. Pili kenya imeshindwa kuwaandaa wakenya kisaikolojia kwa ajili ya vita ndo maana ktk wakati kama huu bado wakenya(madaktari) wamethubutu kugoma kushinikiza nyongeza ya maslahi huku wakijua kuwa nchi iko vitani. Tatu kenya imeshindwa kabisa kuzingatia propaganda ktk vita kwa kuamua kuomba msaada Israel bila kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza ktk uwanja wa vita huko somalia. Nne kenya imeonesha wazi kukosa umakini wa vita baada ya sasa kuomba vikosi vyake viwe chini ya AMISOM wakati walitakiwa wafanye hivyo kabla hata hawajaingia Somalia. Kuhusu Brazil siwezi kuongea chochote maana sijajua uwezo wake katika nyanja mbalimbali, lakini kuhusu Zambia na Lesotho huwezi kutulinganisha sie na Zambia na Lesotho, utakuwa aidha hutujui vizuri au umedhamiria kututukana. Mwisho natambua kuwa kenya ni nchi huru na ndo maana mmeamua kuingia somalia bila hata kuomba ushauri ila sasa malizeni kazi mliyoianzisha na sio kutafuta AMISOM kama upenyo wa kutokea.
haha, dont you just amaze me brother. I understand we hail from different intellect levels buh before u swim in glory get this clear...i stand by Kenya no matter tha cause and any kenyan would esp thz military adventure.