Kenya declares war on Al Shabaab!

Kenya declares war on Al Shabaab!

Hawa wasomali wameshaharibu nchi yao sasa wanataka kuvuka mipaka. Dawa yao ni kutandikwa mpaka wapate akili. Ni watu wenye majivuno saana wakati linchi lao wamelibomoa hadi limebakia magofu. Sijui wanapata wapi ma-confidence yao yasiyo na mpango!
Napata shida kiasi nionapo kuwa miongoni mwa viongozi wao ni masheikh!
 
Wakenya waliwa alika wenyewe magaidi wa kisomali, wakawa wana "invest" - kwa mfano kama eastleigh, ngara road etc - wakahalalisha miraa (mirungi). Sasa wanataka kuwaingiza nchi zingine thru EAC DEFENCE PACT ili wawasaidie kurekebisha makosa yao !

Hiyo sio kweli kwa maana Kenya haijaitisha usaidizi kwa njia ya EAC defense pact. Ni Amisom wanataka wawe ndio ma commander wakuu wa vita vinavyoendelea nchini somalia. Kenya ina isaidia TFG (wapiganaji wa serikali ya mpito ya somalia). Maswala ya EAC defense pact is not a Kenyan affair only. They are recommendations from Council of ministers of EAC, being Led by president/chairman Nkurunzinza who has just given up his seat for Kibaki. Musa sirma is the head of the council of ministers.

This Amisom inashirikisha mataifa kama Burundi, Rwanda, na Djibouti, waki ongozwa na Uganda kama commander wao na UN kama wafadhili wao.

Nairobi, Kenya
15th December 2011
Operation Linda Nchi

By Chalrles Obbo

the Kenya that is seen as a "peaceful nation" that does not fight wars

Today, the Kenya military campaign in Somalia will have been going on for exactly two months.

Perhaps, appropriately, a cheeky friend wrote me to reflect on Kenya's exploits there: The "Linda Nchi'' strategy couldn't be more Kenyan", he wrote; "Go in when it's wet so you can blame the weather if anything goes wrong; embed a few journalists but keep the details secret - helps the media stay on-side; bomb a few positions - the noise reminds everyone you exist; then turn a few enemy commanders to ‘mop-up' the remaining Al-Shabaab.

''Finally, ‘re-hat' (the Kenya Defence Forces into an Amisom/UN peace-enforcement force) and get the UN to double your salary. At this rate, Kismayu will be taken without a shot, and with a new car in the garage".

Even if what is happening in Somalia is quite serious business, one cannot help but chuckle at that.

Just how serious and how international Al-Shabaab has become is reflected in a very revealing interview published in the Somalia Report on Monday.

It was of Al-Shabaab's Intelligence Officer (SomaliaReport: Interview with Al Shabaab Intel Officer).

He is asked: "How many (Al-Shabaab fighters) are foreigners?"

Answer: "Mujahadin brothers? They are many. They come from Kenya, Nigeria, Sudan, Libya, the US and Zanzibar. Allah be praised. Mostly, they are well-educated. Some of them brought their computers and are very happy to stay with us, but we see them very rarely. Last Monday I saw four mujahadin in Afgoye. They cross all al-Shabaab areas."

Al-Shabaab, then is just not a bunch of local militants. It is a talented multinational force.

It is one of the reasons the outcome for Kenya will have far-reaching consequences. There are four competing narratives about Kenya.

First, there is the Kenya that is seen as a "peaceful nation" that does not fight wars - either against itself or other countries - unlike its partners in the East African Community like Rwanda or Uganda. The murderous post-election violence of 2008 ended that story of a peaceful nation.

Then there is the story of Kenya as a weak nation. Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi and Uganda's President Yoweri Museveni, according to leaked US diplomatic cables published on WikiLeaks, reportedly expressed that dim view of Kenya's military.

The same notion seems to have informed Sudan's President Omar al-Bashir's reported "two week ultimatum" to Kenya to reverse a High Court order enforcing an ICC arrest warrant against him should he set foot on Kenya.

It is inconceivable that Bashir would make that request of Museveni or Rwanda's President Paul Kagame. In fact, even if all the world's leaders combined and gave such an ultimatum to stubborn African presidents like Kagame, Meles, or Museveni, they would still scoff at them all.

The third narrative about Kenya, common among old school leftists and pan-Africanists, is that of a "quisling" nation, that collaborated with "imperialist" forces and romanced with the racist apartheid regime.

Yet, after victory is won in South Africa, Mozambique, and Zimbabwe, Kenyan companies like Kenya Airways rush in to mooch off the blood and sacrifices of African revolutionaries.

Finally, among the hardline security types in East Africa, there has been a tendency to see Kenya as a "freeloader" state.

That it is happy to market itself as the leading economy in the region, and its companies have benefited from the relative stability in the region of the last 10 years, but unlike other countries (US, China, Nigeria) that are leading economic powers in their regions, it has been unwilling to contribute to ensuring regional security.

The Somalia campaign, therefore offers Kenya a great opportunity for a major ritual cleansing before the African progressive constituency.

With Somalia, as the Americans would put it, Nairobi is "leaving some skin in the game". Now it can eat of the wealth of the region rightfully.

For this reason, it is not even necessary to win in Somalia. In fact a loss would be better, because Nairobi could then claim a higher moral ground by arguing that it made a greater sacrifice by going into a fight in which victory was not certain.

cobbo@ke.nationmedia.com & twitter@cobbo3
How Kenya can win the war against Al-Shabaab without really fighting  - Charles Onyango-Obbo |nation.co.ke

DN2|Sports Magazine|Smart Company|Living|Money|Saturday Magazine|Lifestyle|Buzz
Football|Athletics|Cricket|Rugby|Golf|Hockey|Tennis|Motorsports|TalkUp
 
Kama umewashtukia hata humu jamvini nako wamekimbia. Wakitokea huwaga wanakuja kuporomosha matusi tu na kujifanya wanajua kuongea kizungu, hoja zimewaishia!
Umesema kweli kaka! hawa majirani wamezoea midahalo, ila bahati mbaya wanachanganya midahalo na mambo yanayohitaji vitendo zaidi kuliko mdomo. Kama nilivyosema mwanzoni mwa hii thread, nawaunga mkono kenya kuwashughulikia Al shabab lakini siungi mkono njia waliyotumia. Huwezi kutangaza vita na al shabab kwa kuonesha vifaa ulivyovinunua na magwanda ya wanajeshi wako. Al shabab sio jeshi rasmi wala sio mamlaka halali. Al shabab ni kikundi cha kigaidi tu. Marekani haijashinda Al qaeda kwa kupiga mabomu huko Afghanistan ila imeonesha kufanikiwa kwa kudhibiti fedha za al qaeda, kuimarisha ushushushu mpaka kufikia kiwango cha kuwauwa Osama, Awlaki na wengineo. Pia US ilijiandaa kupigana vita virefu sana tofauti na majirani zetu ambao walidhani wataisambaratisha Al shabab haraka kama Ethiopia ilivyowafanyia mahakama za kiislam. Baada ya kukoroga mambo sarakasi zimeanza, walisema mvua, wakasema wanagawa misaada na sasa wanasema kuna mabishano kati ya wanaotaka serikali za majimbo na wanaotaka serkali moja kuu ya somalia kwa hiyo hawajui wafanye nini. Kichinichini walitaka kurusha mzigo kwa EAC baada ya kukwama wanataka kurushia Amisom lakini wanasahau kuwa wakati wa kuunda Amisom ilikubaliwa kuwa majeshi hayatakiwi kutokea kwa nchi zinazopakana na Somalia.
 
This is the most interesting part....where are the chest thumping Nyayo patriots:shock:
..."Then there is the story of Kenya as a weak nation. Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi and Uganda's President Yoweri Museveni, according to leaked US diplomatic cables published on WikiLeaks, reportedly expressed that dim view of Kenya's military.

The same notion seems to have informed Sudan's President Omar al-Bashir's reported "two week ultimatum" to Kenya to reverse a High Court order enforcing an ICC arrest warrant against him should he set foot on Kenya.

It is inconceivable that Bashir would make that request of Museveni or Rwanda's President Paul Kagame. In fact, even if all the world's leaders combined and gave such an ultimatum to stubborn African presidents like Kagame, Meles, or Museveni, they would still scoff at them all...."
 
Hiyo sio kweli kwa maana Kenya haijaitisha usaidizi kwa njia ya EAC defense pact. Ni Amisom wanataka wawe ndio ma commander wakuu wa vita vinavyoendelea nchini somalia. Kenya ina isaidia TFG (wapiganaji wa serikali ya mpito ya somalia). Maswala ya EAC defense pact is not a Kenyan affair only. They are recommendations from Council of ministers of EAC, being Led by president/chairman Nkurunzinza who has just given up his seat for Kibaki. Musa sirma is the head of the council of ministers.

This Amisom inashirikisha mataifa kama Burundi, Rwanda, na Djibouti, waki ongozwa na Uganda kama commander wao na UN kama wafadhili wao.

Msibadilishe kiswahili! mwanzoni mlisema mmetangaza vita na al shabab kwa sababu wanawateka wazungu ktk ardhi yenu, sasa mnaanza kusema mnasaidia tu TFG! kwanini hamkuingia kuisaidia TFG tangu mwanzo? Kubalini tu kuwa mmeingia Somalia kama kasuku bila mipango kwasababu vita hamuijui!
 
Wakenya wachachamaa baada ya mvua kuisha huko kusini mwa Somalia.
Haya, sasa hakuna kisingizio tena. Kazi kwenu!

View attachment 43282
Kenyan forces pledge further push into Somalia
By KATHARINE HOURELD, Associated Press

RAS KAMBONI, Somalia (AP) - Kenyan troops and their Somali allies said Tuesday they will push deeper into insurgent-controlled territory in Somalia now that rains have stopped, as the U.N. called for $1.5 billion in aid for those hit by famine in the Horn of Africa nation.

Mohamed Ibrahim Farah, a spokesman for a Kenyan-allied Somali militia at Somalia's southern tip, said troops would move soon, by the end of the year.

"We are going forward within this week," he said as he addressed foreign journalists in a ramshackle hut of twigs and corrugated iron that served as the militia headquarters. "There was a lot of problems with the rain. There's a lot of places with the water there is no place to cross."

More...
-Associated Press
Mhn! wakenya wana kazi, maana naona vijana wao badala ya kuzingatia mazoezi, pichani wanaonekana macho yote yalielekezwa kwenye kamera ya mpiga picha.
 
Msibadilishe kiswahili! mwanzoni mlisema mmetangaza vita na al shabab kwa sababu wanawateka wazungu ktk ardhi yenu, sasa mnaanza kusema mnasaidia tu TFG! kwanini hamkuingia kuisaidia TFG tangu mwanzo? Kubalini tu kuwa mmeingia Somalia kama kasuku bila mipango kwasababu vita hamuijui!

Wacha nikupe wazo. Kenya ili inigia vitani ikijua inaenda kupigana na alshabaab. Kusema kuwa kenya haijui vita is a bald statement ambayo haina msingi. Nyinyi ndio mwajua vita eti! Haya, ni nini haswa inakupa dhana kuwa Kenya haijui vita? Naweza kukupa wazo utafakari. Nchi kama Brazil au Zambia au Lesotho ambazo hazina historia ya vita, itakuwa vigumu kama unaona nchi yenu inaelewa vita kuwa twanga. Mimi kusema Kenya inasaidiana TFG. Kenya ni nchi huru wala haiambiwi lolote na mtu
 
UN-backed invasion of Somalia spirals into chaos
Kenya's first foreign war, which began triumphantly in October with embedded reporters sending breathless reports from the front, is coming off the rails.
View attachment 43421
In a rare dispatch from the badlands of Southern Somalia, Daniel Howden sees how Kenya's war has made things worse

Daniel Howden Thursday 15 December 2011

The famine camps with their domed shelters made of rags and sticks are now surrounded by fields of green. The survivors sit among the clouds of flies and mosquitoes watching the planting season pass them by, living on handouts. The drought in southern Somalia is over but no one is going home.

People who have endured civil war, oppression under a brutal religious sect and starvation now find themselves caught between the lines of a border conflict that is entering a new and dangerous phase.

Kenya's invasion of Somalia, hailed by the West and the UN Security Council, was meant to deliver a knockout blow to the militant Islamist group al-Shabaab. Instead it has pulled Somalia's regional rival Ethiopia back into the country, stirred up the warlords and rekindled popular support for fundamentalists whose willingness to let Somalis starve rather than receive foreign aid had left them widely hated.

Full story (The Independent)

My take: Wakenya kichwa ngumu. Hawataki kushauriwa kwa sababu wanajiona wao ni baab kubwa. Matokeo yake ndio haya, wanazidi kuchemsha!
 
Wacha nikupe wazo. Kenya ili inigia vitani ikijua inaenda kupigana na alshabaab. Kusema kuwa kenya haijui vita is a bald statement ambayo haina msingi. Nyinyi ndio mwajua vita eti! Haya, ni nini haswa inakupa dhana kuwa Kenya haijui vita? Naweza kukupa wazo utafakari. Nchi kama Brazil au Zambia au Lesotho ambazo hazina historia ya vita, itakuwa vigumu kama unaona nchi yenu inaelewa vita kuwa twanga. Mimi kusema Kenya inasaidiana TFG. Kenya ni nchi huru wala haiambiwi lolote na mtu
Mr Mzalendo najua kuwa kenya iliingia vitani ikijua inaenda kupigana na al shabab lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kenya haijui vizuri vita. Nakubali kuwa kwa mzalendo yeyote wa nchi yake, sentensi niliyoisema ni mbaya sana kwa mkenya yeyote mwenye uzalendo na kenya. Bila kujisifu nikujibu kuwa ndiyo sie tunajua vita tena tunaijua vita kuliko mnavyotufikiria. Kinachonipa dhana kuwa kenya haijui vita ni mambo yafuatayo: Kwanza approach iliyochukuliwa na kenya jinsi ya kukabiliana na al shabab, kutangaza vita na al shabab huku kenya ikionesha vifaa vya kivita kama vile iko kwenye maonesho ya biashara kabla hata vita haijaanza ilikuwa kosa kubwa. Pili kenya imeshindwa kuwaandaa wakenya kisaikolojia kwa ajili ya vita ndo maana ktk wakati kama huu bado wakenya(madaktari) wamethubutu kugoma kushinikiza nyongeza ya maslahi huku wakijua kuwa nchi iko vitani. Tatu kenya imeshindwa kabisa kuzingatia propaganda ktk vita kwa kuamua kuomba msaada Israel bila kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza ktk uwanja wa vita huko somalia. Nne kenya imeonesha wazi kukosa umakini wa vita baada ya sasa kuomba vikosi vyake viwe chini ya AMISOM wakati walitakiwa wafanye hivyo kabla hata hawajaingia Somalia. Kuhusu Brazil siwezi kuongea chochote maana sijajua uwezo wake katika nyanja mbalimbali, lakini kuhusu Zambia na Lesotho huwezi kutulinganisha sie na Zambia na Lesotho, utakuwa aidha hutujui vizuri au umedhamiria kututukana. Mwisho natambua kuwa kenya ni nchi huru na ndo maana mmeamua kuingia somalia bila hata kuomba ushauri ila sasa malizeni kazi mliyoianzisha na sio kutafuta AMISOM kama upenyo wa kutokea.
 
This is the most interesting part....where are the chest thumping Nyayo patriots:shock:

haha, dont you just amaze me brother. I understand we hail from different intellect levels buh before u swim in glory get this clear...i stand by Kenya no matter tha cause and any kenyan would esp thz military adventure.
Actually Kenya z a devlping economy like u, #case point. Y blow alshabaab a quick mortal blow wen u can earn from the same threat? Here z where i applaud our conniving technocrats, look at how they are arm twisting the UN despite the so many rules of engagement between neighbouring countries esp when contributing to UN troops to an immediate neighbour (of course u know this, research some more if you dont). Kenya has seen a loop hole to finance the whole military expedtion, first the UN chief pays us a visit then emphasizez tha use of air assets in somalia n actually brings it to the security council, which other military is offering dat in somalia? Again u complaining about hardware display, really? Wats on the public domain to really cause sleepless naits to yew. Wats out thea z just a fraction, more potent stuff such as MBT's are in store for a worthy opponent hence with that preclude the success rate of the KDF with tha lean equipment. I love the strategy used by KDF, say am proud of tha arms corps, 'YOU SEE A WAR, KENYA SEES AN OPPORTUNITY'
 
Have you copied this thinking from US aggression in Iraq, Afghanistan?
 
Kibona nimekukubali. Umeongea unachokijua. Bravo! Tusubiri jamaa waje kujibu hoja zako.
 
View attachment 43446

ALeqM5huSxgFPbcNulEeA2Sj0KaMK9o6gg.jpg

1000xer.jpg

ALeqM5hXlI_eY-mo0GbP5aFmvzdTt7TcNQ.jpg

ALeqM5ioqO-IJK4W5V4YF-koVCftu-JM7A.jpg

we shall prevail, hata kama "internet warriors" wengine hapa wangependa kuona tukishindwa na maharamia wa kisomali!
 
...we shall prevail, hata kama "internet warriors" wengine hapa wangependa kuona tukishindwa na maharamia wa kisomali!
Tuko pamoja, lakini wakenya lazima mkubali kukosolewa, manaake mmechemsha big time. Hizo picha zote za hao maaskari wa kikenya ni kama vile wanakula pozi kinamna flani hivi. Yaani wanaleta usharobaro/ubitozi hata kwenye uwanja wa mapambano?
 
Twin grenade attacks injure four in Kenya
AP Friday 16 December 2011

A local official says twin grenade blasts have injured four people in a northern Kenyan town.

North Eastern Province Police Commissioner James Seriani says one grenade was thrown into the staff canteen at the prison in the town of Garissa late yesterday. The other explosion happened simultaneously at a local hotel.

The attacks are the most recent in a string of grenade and bomb blasts since Kenya sent troops into Somalia two months ago.

Kenya says it wants to break the al-Qa'ida linked Somali insurgency, which it blames for a series of attacks on Kenyan soil.

The Independent

A comment by F H Dar
By invading neighbouring Somalia, Kibaki's government may have pleased USA, but has alienated its own people! That 'border' between Kenya & Somalia is artificial. It is a residue of British & Italian Colonialism. That 'border' should be westwards on the R.Tana, because the people of N.E 'Kenya ' are Somalis cut-off from fellow-Somalis. They should be allowed to secede, just as S.Sudan was . Similar feelings persist among the tribes native to the Coast Province.

Britain should be wary overy trudging into yet another African Tribal conflict.
 
Mr Mzalendo najua kuwa kenya iliingia vitani ikijua inaenda kupigana na al shabab lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kenya haijui vizuri vita. Nakubali kuwa kwa mzalendo yeyote wa nchi yake, sentensi niliyoisema ni mbaya sana kwa mkenya yeyote mwenye uzalendo na kenya. Bila kujisifu nikujibu kuwa ndiyo sie tunajua vita tena tunaijua vita kuliko mnavyotufikiria. Kinachonipa dhana kuwa kenya haijui vita ni mambo yafuatayo: Kwanza approach iliyochukuliwa na kenya jinsi ya kukabiliana na al shabab, kutangaza vita na al shabab huku kenya ikionesha vifaa vya kivita kama vile iko kwenye maonesho ya biashara kabla hata vita haijaanza ilikuwa kosa kubwa. Pili kenya imeshindwa kuwaandaa wakenya kisaikolojia kwa ajili ya vita ndo maana ktk wakati kama huu bado wakenya(madaktari) wamethubutu kugoma kushinikiza nyongeza ya maslahi huku wakijua kuwa nchi iko vitani. Tatu kenya imeshindwa kabisa kuzingatia propaganda ktk vita kwa kuamua kuomba msaada Israel bila kuzingatia madhara yanayoweza kujitokeza ktk uwanja wa vita huko somalia. Nne kenya imeonesha wazi kukosa umakini wa vita baada ya sasa kuomba vikosi vyake viwe chini ya AMISOM wakati walitakiwa wafanye hivyo kabla hata hawajaingia Somalia. Kuhusu Brazil siwezi kuongea chochote maana sijajua uwezo wake katika nyanja mbalimbali, lakini kuhusu Zambia na Lesotho huwezi kutulinganisha sie na Zambia na Lesotho, utakuwa aidha hutujui vizuri au umedhamiria kututukana. Mwisho natambua kuwa kenya ni nchi huru na ndo maana mmeamua kuingia somalia bila hata kuomba ushauri ila sasa malizeni kazi mliyoianzisha na sio kutafuta AMISOM kama upenyo wa kutokea.

kenya haikusema iwe chini ya amisom. Uganda (Amisom) ndio walileta hilo ombi yakwamba kenya iwe chini yake. Kulingana matamshi yako kuwa kenya haijui vita, only time will tell.
 
haha, dont you just amaze me brother. I understand we hail from different intellect levels buh before u swim in glory get this clear...i stand by Kenya no matter tha cause and any kenyan would esp thz military adventure.
Actually Kenya z a devlping economy like u, #case point. Y blow alshabaab a quick mortal blow wen u can earn from the same threat? Here z where i applaud our conniving technocrats, look at how they are arm twisting the UN despite the so many rules of engagement between neighbouring countries esp when contributing to UN troops to an immediate neighbour (of course u know this, research some more if you dont). Kenya has seen a loop hole to finance the whole military expedtion, first the UN chief pays us a visit then emphasizez tha use of air assets in somalia n actually brings it to the security council, which other military is offering dat in somalia? Again u complaining about hardware display, really? Wats on the public domain to really cause sleepless naits to yew. Wats out thea z just a fraction, more potent stuff such as MBT's are in store for a worthy opponent hence with that preclude the success rate of the KDF with tha lean equipment. I love the strategy used by KDF, say am proud of tha arms corps, 'YOU SEE A WAR, KENYA SEES AN OPPORTUNITY'

I know you still have some fight left....fortunately enough, now you will be fighting under more experienced Museveni generals.

Please use your time wisely while you there and learn a thing or two from them....😛oa
 
Back
Top Bottom