Kenya development is on steroids

Kenya development is on steroids

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
Kenya development is on steroids! everywhere you look new roads, railways, water systems, electricity generation&transmission projects, oil, new port. I give us 3yrs tops to hit the $100bn GDP.

Dd9-qM_VAAAcVO9.jpg

Dd9-tiYVQAAM0S0.jpg

Dd9-u9AU0AAlHFa.jpg

Dd9-xIGUQAM90lN.jpg

33245566_10156506887732422_1289647566522155008_n.jpg

33376997_10156506887837422_2193037905092411392_n.jpg
 
Kenya development is on steroids! everywhere you look new roads, railways, water systems, electricity generation&transmission projects, oil, new port. I give us 3yrs tops to hit the $100bn GDP.

YoundD, there is a thread for this already. Just google "dongo kundu jamii forum"
 
Wakenya bhana kujifanya Wazungu eti dongo kundu, ni kidongo chekundu na siyo dongo kundu!

Actually it's "Dongo Kundu" sio "Kidongo Chekundu". Hilo jina limefupishwa Pwani lakini neno kamili ni "Udongo Mwekundu". Naelewa wajaribu kusema nini lakini kama wamaanisha Kiswahili sanifu, ni vyema uelewe kuna njia tofauti ya kuongea Kiswahili sanifu. Vile umetaja ni kweli na vile nimekutajia pia ni kweli.
 
Lkn Dongo kundu siyo sawa, ni Muzungu ndo hutamka hivyo na Wakenya wakaamua nao kutamka kama Muzungu ni kama vile jambo.
 
Nope. Kumbuka nimesema "dongo kundu" ni kufupisha. Neno kamili ni "udongo mwekundu". Kama bado hukubaliani nami ni sawa, sina haja kubishana. Mimi naelewa naongea juu ya nini.

Dongo = clay
Udongo = soil
 
Nope. Kumbuka nimesema "dongo kundu" ni kufupisha. Neno kamili ni "udongo mwekundu". Kama bado hukubaliani nami ni sawa, sina haja kubisha.

Dongo = clay
Udongo = soil

Nakubaliana na wewe kwamba ni udongo mwekundu, lkn kuita dongo kundu siyo kufupisha bali ndivyo Muzungu alivyokuwa anaita, hivyo maelite wa Kikenya nao wakaamua kuiita kama Muzungu, hiyo ndiyo sababu!
 
Poa.
 
Noma yaani noma, zaidi ya noma $100b GDP mbona tunafika, sio mbali maana tunajongea.
 
Nope. Kumbuka nimesema "dongo kundu" ni kufupisha. Neno kamili ni "udongo mwekundu". Kama bado hukubaliani nami ni sawa, sina haja kubishana. Mimi naelewa naongea juu ya nini.

Dongo = clay
Udongo = soil
Clay = mfinyanzi
 
Clay = mfinyanzi

Ok mambo mawili.
Mfinyanzi inaelezea mtu. So mfinyanzi kwa kizungu ni "potter" dongo ndio mfinyanzi hutumia kutengeneza chochote atakacho kama vile nyungu.
 
So let me get something straight here: anayedhania nimekosea kusema neno "dongo" sina shida na wewe. Wacha tukubaliane kutokukubaliana. Naheshimu maoni yenu lakini sina haja ya kukubaliana nayo. Sasa watu waendelee na mada ya awali.l
 
Back
Top Bottom